Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mambo ndo haya
IMG-20230422-WA0005.jpg
 
Mbeya -Dom
1.Shabiby Line,
2.Kimbinyiko,
3.Ngasere High Class,
4.Magalaula,
5.MK Classic,
6.Swahili Travellers Coach

20230422_114038.jpg
 
Boss tumetengwa mno ukiona mwanza inakimbiza hivo ni juhudi zetu wakaazi lakin Mirad ukweli hasa Barabara Hali ni Tete japo ni Pana kuliko za mbeya ila zimechoka na serikali haijali,, masoko mengi ni hovyo, Kuna machinga complex ilemela nayo kuisha nazan ni mwakani, soko mkuyuni ndo maandalizi now wanaclear eneo lakin dar ujenzi ni kas ya 5G
Wale mliodai kutengwa mnaitwa huku.
 
Back
Top Bottom