Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bado mnaangaika na mavituo ya afya, kapambaneni na mikoa ya sudani kusini, sisi tulishatoka huko miaka ya 80.
Ndo leval Yao Kwa Sasa si unajua at wilaya na mikoa ya kusini Ndo now inaunganishwa Toka uhuru walikuw kama kinda lilotelekezwa kwenye kiota
 
1682012867087.jpg
 
Ila Bado haijakamilika Mzee Kuna zaidi ya km 90 ni mavumbi ingawa Wakandarasi wako site..

Magu alitelekeza hii Mikoa maana ilitakiwa ziwe zimekamilika kitambo sana.
Magu kafariki ikiwa katika utekelezaji we mbena na roho Yako ngumu ukitaka Kila kitu kimalizike ndan ya miaka mitano au,, mjinga TU ndo hawez ona mchango wake ila Kwa mwenye werevu ataona
 
Back
Top Bottom