KONK MASTER
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,223
- 512
Hilo ni soko kama masoko mengine ya kawaida hivi unajua soko la samaki kirumba ewe unaongelea soko la samaki ludewa😂😂😂 la shiling wakati mwanza ndo Jiji la samaki masoko ya bilioni mzee
Hilo ni soko kama masoko mengine ya kawaida hivi unajua soko la samaki kirumba ewe unaongelea soko la samaki ludewa😂😂😂 la shiling wakati mwanza ndo Jiji la samaki masoko ya bilioni mzee
Masoko ni haya
Shida akilini mwako umejaza Kila kitu unajua ni kushindanisha tuKwenye hyo bajet na buchosa nmeona imo au unazan buchosa ni ya kusini😂,,,
Ni mwendo wa masoko ya Kisasa tuu.Rudia kusoma,mwanza soko moja, na ilemela moja jumla masoko mawili.
Barabara ya kishiri buhongwa ni km 14Wewe mbona Huwa unapenda kutunga uongo sana,hizo 16 na 14 umezitia Wizara gani?
Wapi imeandikwa mbeya kwenye hyo TweetKale kamgodi ka dhahabu sengerema ni ka bei gani?
Tanzania inaenda kushindana na China kwenye soko la Madini ya rare Earth Duniani,bil.700 kumwagwa Mbeya.