Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO​

Toggle navigation

Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako​

thumb_1387_800x420_0_0_auto.jpg
Tarehe Iliyowekwa: August 11th, 2022
Na. Lina Sanga
Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kinatarajiwa kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako,kitachotumika kufanya ukaguzi wa magari yote yanayoelekea mbeya na Songea.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Mhe. Makame Mbalawa alipokuwa akitoa salamu kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji Makambako leo,waliofika kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Mbalawa amesema kuwa eneo la ujenzi wa kituo hicho lenye ukubwa wa hekta 200 limechukuliwa na jumla ya mil. 870 zimelipwa fidia kwa wamiliki wa maeneo hayo na mil. 2.9 Wizara inajipanga kuwalipa wamiliki walio baki.
Ametoa wito kwa wamiliki wa maeneo hayo ambayo yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho,wanaostahili kulipwa fidia kwa mujibu wa sheria watalipwa kwani fedha zao zipo hawatadhulumiwa.
Ameongeza kuwa jumla jumla ya bil. 2.2 zimetolewa kwa ajili ya matengenezo ya barabara za mjini na Serikali itaendelea kuleta fedha hizo kadri inavyowezekana ili Mji wa Makambako uondokane na Vumbi kwa kujenga barabara za lami.

Video​

TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu, Tuitumie kwa Usahihi na Uwajibikaji . Makambako TC, 2021​

Video zaidi

Kurasa za Karibu​

Tovuti Mashuhuri​

Wasomaji mbalimbali duniani​

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji​

free HitCounter

Ramani ya Eneo​

Wasiliana nasi​

  • Makambako Town Council
    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
    Simu ya mezani: 026-2730044
    Simu ya Kiganjani: 0785635383
    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Mawasiliano Mengine

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa
Google Translate

Original text​

Contribute a better translation

Kimeshajengwa au Bado?
 
Ni mwendo wa miradi makambako tc
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO​

Toggle navigation

Wananchi 18 eneo la soko la kimataifa Makambako,kufanyiwa uthamini kwa ajili ya malipo ya fidia.​

thumb_1492_800x420_0_0_auto.jpg
Tarehe Iliyowekwa: January 5th, 2023
Na. Lina Sanga
Njombe

Tamko hilo limetolewa leo na Waziri wa Uwekezaji,Biashara na Viwanda, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji katika mkutano wa saba wa baraza la biashara, Mkoa wa Njombe lililofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe , na kuwakutanisha wafanyabiashara wote wa Mkoa wa Njombe ili kusikiliza na kujadili changamoto mbalimbali wanazokabiliana nazo.
Mhe. Kijaji amesema kuwa Wananchi hao ambao hawakufanyiwa uthamini wa maeneo yao wakati wa uthaminishaji wa awali na kushindwa kulipwa fidia ya maeneo yao , Wizara imeanza kufanyia kazi suala hilo ili kumalizana na wananchi hao , ili pindi wadau wa kujenga soko hilo watakapo patikana ujenzi uanze mara moja bila kikwazo chochote.
Amesema kuwa endapo ujenzi wa soko hilo la Kimataifa na bandari kavu katika Halmashauri ya Mji Makambako ukikamilika,utasaidia kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa katika Mkoa wa Njombe na wananchi wataweza kunufaika na kujipatia maendeleo.
Ametoa wito kwa Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya nchini kusimamia Sekta binafsi katika maeneo yao na kuzilea ili zikue na kutokuwa kikwazo katika ukuaji wa Sekta hizo ili kuunga mkono juhudi za Mhe. Samia Suluhu Hassan kwani Sekta binafsi ndizo zimebeba uchumi wa taifa.

Video​

TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu, Tuitumie kwa Usahihi na Uwajibikaji . Makambako TC, 2021​

Video zaidi

Kurasa za Karibu​

Tovuti Mashuhuri​

Wasomaji mbalimbali duniani​

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji​

free HitCounter

Ramani ya Eneo​

Wasiliana nasi​

  • Makambako Town Council
    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
    Simu ya mezani: 026-2730044
    Simu ya Kiganjani: 0785635383
    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Mawasiliano Mengine

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa
Google Translate

Original text​

Contribute a better translation

Kimeshajengwa au Bado?
Saiz ndo wapo kwenye maandalizi wanabomoa nyumba zilizopo eneo Hilo fidia walimalizia mwaka jana mwez wa 12
 
Mwanza na Kahama mpo?

Tactic Mbeya

-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5

Kwa miradi hiyo,Sura ya Jiji la Mbeya itabadilisa sana .On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Njia 4 tena Zenye walk ways..

By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Weka hiyo pdf humu
 
Mwanza na Kahama mpo?

Tactic Mbeya

-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5

On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..

Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Mwanza tactics
Nyamagana...
Km 14 za lami
Soko kuu la samaki.
Kingo za kisasa za mto mirongo
Ilemela
Km 16 za lami
Soko kuu kirumba
Wakati mnaendea kucheka kujengewa stendi za msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makete District Council

Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaOfisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za MitaaHalmashauri ya Wilaya ya Makete​

Toggle navigation

Milioni 200 kuweka Taa za Barabarani Makete Mjini​

thumb_574_800x420_0_0_auto.jpg
Tarehe Iliyowekwa: August 9th, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amezungumza na wananchi wa Makete leo Agosi 9,2022 ambapo amefungua barabara ya Njombe-Makete (107 km) na kuahidi kutoa Milioni 100 kwa ajili ya kuweka taa za barabarani Makete mjini
Pia amewaagiza Viongozi ngazi ya Wilaya kwa kushirikiana na wananchi kuchanga fedha kiaisi cha shilingi Milioni 100 ili kuongeza Taa za barabarani na kufikia Kilomita 2 na kuunga mkono jitihada za Serikali katika uwekaji wa taa hizo.
Mh. Rais amesema Serikali imetoa fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Njombe-Makete hivyo amewataka wananchi kulinda na kutunza miundombinu ya Barabara hiyo.
Pia amesema Serikali imetenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa Lami kutoka Makete-Mbeya ambapo kwa kuanza Serikali inaanza mwezi wa tisa (9) mwaka huu kujenga Kilomita 36 kutoka Iniho kuelekea Kitulo eneo ambalo ni korofi sana na fedha zitaendelea kutengwa ili kukamilisha barabara hiyo yenye umuhimu mkubwa kiuchumi kwa wananchi wa wanamakete.
“Mkandarasi amepatikana tayari na ujenzi unaanza mwezi wat isa barabara hii ni muhimu kwa kukuza utalii katika Wilaya ya Makete, kuongeza shughuli za uzalishaji na niwapongeze kwa upandaji wa miti kwa wingi katika Wilaya hii, niwasihi kabla hatujakata miti tuhakikishe tumepanda mingine mingi ili kutunza mazingira yetu”.
Mbunge Jimbo la Makete Mhe. Festo Sanga akizungumza mbele ya Rais na wanamakete sambamba na kumshukuru Mhe. Samia kwa ujenzi wa Barabar, Shule ya wavulana Makete, kutoa fedha za ujenzi wa Hospitali ya Wilaya na Jengo la Halmashauri, ujenzi wa Bwala la Umeme Lumakalya na miradi mbalimbali ameongeza kuwa changamoto kubwa ambayo inabeba hitaji la wanamakete kwa sana ni barabara ya Lami kutoka Makete-Mbeya.

Video​

Naibu Waziri wa elimu akiwa chuo cha ualimu Tandala​

Video zaidi

Kurasa za Karibu​

Kurasa Mashuhuri​

Wasomaji mbalimbali duniani​

world map hits counter

Idadi ya wasomaji​

free HitCounter

Ramani ya Eneo​

Wasiliana Nasi​

  • MAKETE DISTRICT COUNCIL
    Sanduku la barua: P.O.BOX. 6 Makete, Njombe Tanzania
    simu: +255 262 740016
    Simu ya Mkononi:
    Barua pepe:
    ded@maketedc.go.tz
Mawasiliano mengine

Copyright ©2021 MAKETEDC . All rights reserved.
Google Translate

Original text​

Contribute a better translation

Mwanza tactics
Nyamagana...
Km 14 za lami
Soko kuu la samaki.
Kingo za kisasa za mto mirongo
Ilemela
Km 16 za lami
Soko kuu kirumba
Wakati mnaendea kucheka kujengewa stendi za msaada..

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya umeyatoa kwenye source ipi ikiwa Tamisemi hawajayataja popote? 😁😁

Tamisemi wanasema kingine na wewe unasema vya kwako.In fact Kwa Barabara Ilemela na Mwanza cc ni km 29.7 ,soko 1 na kivuko Cha Sgr
 
HALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAAHALMASHAURI YA MJI WA MAKAMBAKO​

Toggle navigation

Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako​

thumb_1387_800x420_0_0_auto.jpg
Tarehe Iliyowekwa: August 11th, 2022
Na. Lina Sanga
Kituo kikubwa cha ukaguzi wa magari kinatarajiwa kujengwa katika Halmashauri ya Mji Makambako,kitachotumika kufanya ukaguzi wa magari yote yanayoelekea mbeya na Songea.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi,Mhe. Makame Mbalawa alipokuwa akitoa salamu kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji Makambako leo,waliofika kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Mbalawa amesema kuwa eneo la ujenzi wa kituo hicho lenye ukubwa wa hekta 200 limechukuliwa na jumla ya mil. 870 zimelipwa fidia kwa wamiliki wa maeneo hayo na mil. 2.9 Wizara inajipanga kuwalipa wamiliki walio baki.
Ametoa wito kwa wamiliki wa maeneo hayo ambayo yamechukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa kituo hicho,wanaostahili kulipwa fidia kwa mujibu wa sheria watalipwa kwani fedha zao zipo hawatadhulumiwa.
Ameongeza kuwa jumla jumla ya bil. 2.2 zimetolewa kwa ajili ya matengenezo ya barabara za mjini na Serikali itaendelea kuleta fedha hizo kadri inavyowezekana ili Mji wa Makambako uondokane na Vumbi kwa kujenga barabara za lami.

Video​

TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu, Tuitumie kwa Usahihi na Uwajibikaji . Makambako TC, 2021​

Video zaidi

Kurasa za Karibu​

Tovuti Mashuhuri​

Wasomaji mbalimbali duniani​

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji​

free HitCounter

Ramani ya Eneo​

Wasiliana nasi​

  • Makambako Town Council
    Anuani ya Posta: P.O.BOX 405 Makambako
    Simu ya mezani: 026-2730044
    Simu ya Kiganjani: 0785635383
    Barua pepe: td@makambakotc.go.tz
Mawasiliano Mengine

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Makambako. Haki zote zimehifadhiwa
Google Translate

Original text​

Contribute a better translation

😂😂😂😂 Vituo vya ukaguzi navyo unapost we jamaa vipi wakat wengine vipo miaka kadhaa ad mji mdogo wa katoro huko geita wa kituo kidogo Cha ukaguzi wa magari
 
Mwanza na Kahama mpo?

Tactic Mbeya

-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5

On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..

Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Mwanza jumla imepewa km 30 maana 14 za NYAMAGANA na ILEMELA 16
 
Mwanza na Kahama mpo?

Tactic Mbeya

-Km 24.8 za lami za mtaani
-Stand kubwa 1,
-Kituo Kidogo Cha daladala 1
-Masoko 3,
-Mifereji ya maji km6.5

On top of that Kuna km 5 za lami za TanRoads,km 4 za Tarura na Kuna Barabara ya Njia 4 tena Zenye walk ways..

Kwa miradi hiyo sura ya Jiji la Mbeya inaenda kubadilika sana,
By 2025 Jiji kitakuwa zuri sana tofauti na hapo awali.View attachment 2587554
Mwanza jumla imepewa km 30 maana 14 za NYAMAGANA na ILEMELA 15 point
 
Haya umeyatoa kwenye source ipi ikiwa Tamisemi hawajayataja popote? 😁😁

Tamisemi wanasema kingine na wewe unasema vya kwako.In fact Kwa Barabara Ilemela na Mwanza cc ni km 29.7 ,soko 1 na kivuko Cha Sgr
Rudia kusoma,mwanza soko moja, na ilemela moja jumla masoko mawili.
 
😂😂😂😂 Vituo vya ukaguzi navyo unapost we jamaa vipi wakat wengine vipo miaka kadhaa ad mji mdogo wa katoro huko geita wa kituo kidogo Cha ukaguzi wa magari
Unaongea Nini ww Kanda ya ziwa kinajengwa nyakanazi jaribu kupitia hata kwenye magari ya transit wamekuwekea sticker
 
Back
Top Bottom