nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 700
- 1,116
Lakini hapa si Mwanza hapaNjombe mpo...
Kahama sio size yenu [emoji106][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2583786
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Lakini hapa si Mwanza hapaNjombe mpo...
Kahama sio size yenu [emoji106][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2583786
Hii ni Kahama mtaa gani? 🙄🙄Njombe mpo...
Kahama sio size yenu [emoji106][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 2583786
Igalilimi Kona ya kutokea government hospital [emoji3060]Hii ni Kahama mtaa gani? [emoji849][emoji849]
Mwanza mtaa gan
Ndio maana pamechakaa hivyo kumbeIgalilimi Kona ya kutokea government hospital [emoji3060]
Kahama naona inawapelekea moto sio poaNdio maana pamechakaa hivyo kumbe
Wivu ..hizo street huwezi pata njombeNdio maana pamechakaa hivyo kumbe
Wivu ..hizo street huwezi pata njombe
Tulishaacha muda sana kamanda.TANGAZO,, naomba watu wote wa lake zone tustmie Jiji la mwanza kushindanisha na mbeya ni kjizalilisha sana na kuzalilisha hadhi ya Jiji la MWANZA,
Mwanza ni second city after Dar,hivo heshima wakuu naomba tutumie mikoa kama kagera,shy,simiyu,mara,na Geita kushindanisha na kusini ila tustumie mwanza kabisa.
Asanteni sana
Hatuna shida na magwangala hayo .. hauwezi mziki wa katarama,,la sivyo atataga Kila sikuWale mliodanganywa mnaitwa huku [emoji2957][emoji2957]
View attachment 2585124