Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mizigo hii hapo makambako tc
94142112.jpg
FB_IMG_16763637887038480.jpg
FDGWihCXoAIjyK1.jpg
 
Unajichekesha lakini moyoni unaumia, lakini vumilia ndio ukubwa wa jiji lenyewe lenye vina saba vya Las Vegas.
Nimesema mnioneshe kiwanda Cha Magodoro na sabuni huko Mwanza Bado mnapiga porojo tuu..

Mbeya 👇
IMG_20230410_085613_656.jpg
 
Kahama kwenye lile joto?hapana kwakwel bora njombe sio mbali kutoka dar pia njombe hali ya hewa ni nzuri
Mji ukiwa karibu tu Dar, tayari huo mji ni bora na mzuri automatically au sio, kama hujui hasara ya kuwa karibu na Dar muulize, Tanga na miji ya karibu na Dar.
 
Nimesema mnioneshe kiwanda Cha Magodoro na sabuni huko Mwanza Bado mnapiga porojo tuu..

Mbeya View attachment 2583219
Kumbe wilaya ya Bukoba mjini ndo inaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha umaskini nchini na hamsemi....

Nasubiri takwimu za umaskini za kiwilaya tuone mbichi na mbivu...

Hii ni nyuma kudogo wilaya ya bukoba mjini ndo wilaya yenye maskini wachache nchini huku 89% ya wakazi wake wakiwa na kipato....nyie endeleeni kukalili takwimu zenu za mikoa kama kagera ambayo ina wilaya inayoongoza kwa ahueni wa umaskini yaanu Bukoba na biharamulo inayoongoza kwa umaskini nchini baada ya kakonko...

Ndo maana napenda walete report ya wilaya tuone wilaya ya bukoba, misenyi na muleba zipoje katika umaskini...View attachment 2583353
Screenshot_20230410-160652.jpg
Screenshot_20230410-160753.jpg
Screenshot_20230410-160554.jpg
 
Kumbe wilaya ya Bukoba mjini ndo inaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha umaskini nchini na hamsemi....

Nasubiri takwimu za umaskini za kiwilaya tuone mbichi na mbivu...

Hii ni nyuma kudogo wilaya ya bukoba mjini ndo wilaya yenye maskini wachache nchini huku 89% ya wakazi wake wakiwa na kipato....nyie endeleeni kukalili takwimu zenu za mikoa kama kagera ambayo ina wilaya inayoongoza kwa ahueni wa umaskini yaanu Bukoba na biharamulo inayoongoza kwa umaskini nchini baada ya kakonko...

Ndo maana napenda walete report ya wilaya tuone wilaya ya bukoba, misenyi na muleba zipoje katika umaskini...View attachment 2583353View attachment 2583354View attachment 2583356View attachment 2583357
Stuka tuko 2023 ,mambo ya 2001 tena?

Kwa akili hizi si ajabu mnaongoza Kwa umaskini 😝😝
 
Back
Top Bottom