ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,184
- 88,132
- Thread starter
- #15,281
Aliyemuelewa huyu Jamaa amjibu Mimi sijakuelewa
Aliyemuelewa huyu Jamaa amjibu Mimi sijakuelewa
Kwa hao Matajiri na Wajasiliamali wa Madini wa Chunya huko kina Achimwene,Sauli and the likesWale wa kabwe au sio [emoji846][emoji846][emoji846] au wale wa Mwanjelwa [emoji846][emoji846]
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Utafikiri Kambi ya wakimbizi wa Burundi 😁😁😁
Mbona kajengo kamoja unakageuza mara tatu tatu 😀😀Kahama [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2581941View attachment 2581942View attachment 2581943
Achimwene kumbe nae wa MbeyaKwa hao Matajiri na Wajasiliamali wa Madini wa Chunya huko kina Achimwene,Sauli and the likes
Yap
Jibu swali acha blah blahAliyemuelewa huyu Jamaa amjibu Mimi sijakuelewa
Isamilo lodge [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Unaona hii view?
Yaani haka ka hoteli ka kienyeji ndio kamekuchanganya? Kuna nini jipya hapo?Isamilo lodge [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2582251View attachment 2582253
Za mbeya zipo wapi .za kuizidi hyo hotel ya kienyejiYaani haka ka hoteli ka kienyeji ndio kamekuchanganya? Kuna nini jipya hapo?
Za mbeya zipo wapi[emoji116]Yaani haka ka hoteli ka kienyeji ndio kamekuchanganya? Kuna nini jipya hapo?
Another kituko 😁😁.Mwanza mnahangaika sana kujaribu kuendana na hadhi ya Jiji 🤣🤣Za mbeya zipo wapi[emoji116]View attachment 2582264View attachment 2582265
Mbeya GR City HotelZa mbeya zipo wapi .za kuizidi hyo hotel ya kienyeji
Wew mshamba huwezi kuelewa luxurious lodge kama tilapia........Another kituko [emoji16][emoji16].Mwanza mnahangaika sana kujaribu kuendana na hadhi ya Jiji [emoji1787][emoji1787]
Ndio zimeisha hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]Mbeya GR City Hotel View attachment 2582271
Highland HotelNdio zimeisha hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
Nakupostia hotel za manispaa ya ilemela tu ...sigusi nyamagana View attachment 2582274View attachment 2582276