Mbeya is next good thing.Shabiby akileta hizo 2by1 kama uliyotuma picha ziende Mbeya Dom au Dar Dom nimekaa pale [emoji1]
Hizo VIP so far zipo mbili tu na huwa zipo mbili kwake mara kibao tu toka zikiwa DEN, zikaja DPP kisha DYS.
Hizo za Dar Mbeya ni 45 seater buses with 2*2 seating arrangement brother plus hata za Mbeya Dom labda abadilishe lkn kwa sasa zipo 57 seater buses sasa sijui unabisha nn.
Anyways kakate tiketi kwenye hizo route mbili ulizotaja ukipata 2by1 bus nidai pesa yako
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Hao Machinga wenu waje kujifunza Kwa Wajasiliamali wa MbeyaWanazidi kumiminika kuja kuishi na kutembea jijini Mwanza [emoji846]
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
[emoji91]Mbarali & Iringa Irrigation Schemes.
Nyanda za Juu ni [emoji91][emoji91]
Yaani Hadi Leo hii hiyo Mikoa Haina warehouses za MSD? Huko kwenu ni zero kabisa.
Kwa hyo hata dar hamna ware house za msd [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani Hadi Leo hii hiyo Mikoa Haina warehouses za MSD? Huko kwenu ni zero kabisa.
Makambako Kuna viwanda vya msd,Mbeya Kuna zonal warehouse pale Iwambi.
Hesabu Mwenye hapa 👇Kahama ...sio level yenu njombe [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji116]View attachment 2581912
Baada ya kahama kukunyea umekimbilia kwenye mabus [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]Mbona hatuoni Mwanza Dar? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnakopa picha et kahama kama hakuna hakuna tu kahama hii hapaKahama ...sio level yenu njombe [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji116]View attachment 2581912
Kahama ni glorified slum village,in no way inaweza shindana na NjombeBaada ya kahama kukunyea umekimbilia kwenye mabus [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16]
Kahama ya miaka 90 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnakopa picha et kahama kama hakuna hakuna tu kahama hii hapaView attachment 2581924
Ni mavumbi ,kupauka na mabanda ya nyumba za uani 😁😁Mnakopa picha et kahama kama hakuna hakuna tu kahama hii hapaView attachment 2581924
Wale wa kabwe au sio [emoji846][emoji846][emoji846] au wale wa Mwanjelwa [emoji846][emoji846]Hao Machinga wenu waje kujifunza Kwa Wajasiliamali wa Mbeya
Naomba kuuliza.. hivi Mbeya Mjini ni wapi.Hao Machinga wenu waje kujifunza Kwa Wajasiliamali wa Mbeya
Kwa hyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haha ikifika levo hizo mbona mtaKahama [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2581941View attachment 2581942View attachment 2581943
Ikifika level hizo mbona mtatusumbua sanaKahama [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2581941View attachment 2581942View attachment 2581943