Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Old Bukoba airport Terminal...now used as terminal 2 nimependa mitaa ya hapo nyuma....no slums kama mbeya
images%20(26).jpg
20230406_155101.jpg
Screenshot_20230329-210344.jpg
 
Hii ni Shabiby Line ya Dar Dodoma ya 45,000

Mbeya Zinakuja DVW na DYS ambazo ni 2by2 bhana

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
We Jamaa ni kabishi sana,umesoma Bango la hiyo shabiby?

Kwa taarifa Yako Sasa Shabiby atakuwa anatoa gari mbili kwenda Mbeya na kurudi Dom saa 12 na Saa 1 zote VIP.

Pili anaanza route ya Mbeya-Dar VIP Class kama kawaida.
Shabiby ni VIP Class Toka kitambo sana Kwa route ya Mbeya,yeye na Kimbinyiko.
 
VIP nyingine inaanza soon Kati ya Songea-Dodoma.Supeefeo ajiandae Kisaikolojia.
 
TanRoads wameanza kutimiza ahadi Yao ya kujenga km 5 za lami jijini Mbeya.

Spika Tulia aliomba usaidizi
Screenshot_20230407-022602.jpg
 
We Jamaa ni kabishi sana,umesoma Bango la hiyo shabiby?

Kwa taarifa Yako Sasa Shabiby atakuwa anatoa gari mbili kwenda Mbeya na kurudi Dom saa 12 na Saa 1 zote VIP.

Pili anaanza route ya Mbeya-Dar VIP Class kama kawaida.
Shabiby ni VIP Class Toka kitambo sana Kwa route ya Mbeya,yeye na Kimbinyiko.
Shabiby akileta hizo 2by1 kama uliyotuma picha ziende Mbeya Dom au Dar Dom nimekaa pale

Hizo VIP so far zipo mbili tu na huwa zipo mbili kwake mara kibao tu toka zikiwa DEN, zikaja DPP kisha DYS.

Hizo za Dar Mbeya ni 45 seater buses with 2*2 seating arrangement brother plus hata za Mbeya Dom labda abadilishe lkn kwa sasa zipo 57 seater buses sasa sijui unabisha nn.

Anyways kakate tiketi kwenye hizo route mbili ulizotaja ukipata 2by1 bus nidai pesa yako

Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom