ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,346
- 88,422
- Thread starter
-
- #15,121
Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba ππ.Hizi DJX zilizokuaga Alsaedy ndo mnaita mpya?View attachment 2576606
Sent from my SM-N950U using JamiiForums mobile app
Dry Port loading in Tunduma na navyoijua Halmashauri haitasubiria blaa blaa za Serikali na TPA wataingiza mzigo wenyewe
Kapima upepo wa katarama na allys kaona Hana uwezo ..huku hayaji magongo wazi ...Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba [emoji16][emoji16].
Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza? [emoji125][emoji125]
Mutoto mupya mujini ...we endelea kuchekelea used za mchina[emoji91][emoji91]
SAULI ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba [emoji16][emoji16].
Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza? [emoji125][emoji125]
Onyesha tofauti hapo,harafu tutajuaje kwamba inaenda Mwanza bila label? Yangu Ina label ya MajinjahMutoto mupya mujini ...we endelea kuchekelea used za mchina
Huku ni G7 View attachment 2576864
Magwangala ya mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Onyesha tofauti hapo,harafu tutajuaje kwamba inaenda Mwanza bila label? Yangu Ina label ya Majinjah
Haters atakwambia hatuko kwenye Mpango ππ.Magwangala ya mbeya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2576878
Naomba hii document PMHaters atakwambia hatuko kwenye Mpango [emoji16][emoji16].
Kuna Barabara 3 kutoka Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini hapa [emoji116]View attachment 2576932
Ingia tovuti ya Wizara ya Fedha au Bunge download hukoNaomba hii document PM
HaipoIngia tovuti ya Wizara ya Fedha au Bunge download huko
Ka mji kamejengwa na tofali za kuchoma tu kama mbeya π
Mtanzania mwenye akili timamu kutoka mikoa isiyo ya kanda ya ziwa wala kusini akipewa nafasi ya kwenda kuishi Mwanza au Mbeya unadhani atachagua wapi?Acha wivu Bwashee ,Mwanza mshapigwa kamba ππ.
Nani apeleke gari yake ya maana ikachakae huko Kwa washamba Mwanza? ππ
Ipo acha ubishi basi ,utakapoona picha ya Mwigulu ndio hiyo inahusu ukomo wa BajetiHaipo
MbeyaMtanzania mwenye akili timamu kutoka mikoa isiyo ya kanda ya ziwa wala kusini akipewa nafasi ya kwenda kuishi Mwanza au Mbeya unadhani atachagua wapi?