Kahama VS Njombe/Mafinga

Tatizo moja la mji wa Bukoba limeanza kufanyiwa kazi...ujenzi wa stendi umeanza upya baada ya kukwama za zaidi 15years...bado soko sasa...sijui mtaisema Bukoba kwa lipi sasa

Nimependa kutumia mkandarasi wa hapo hapo Bukoba...

Mkuu, sasa hivi Manispaa ya Bukoba imeongezewa eneo Kata za Maruku, Kanyangereko, Katoma, Karabagaine na eneo dogo la Kemondo zimerudi ndani ya Manispaa na siyo tena Halmashauri ya Bukoba Vijijini.

Kwa ukubwa huu wa eneo la mraba kuna kitu kikubwa kinakuja.
 
Hii nyumba ni Kwa ajili ya wafanya KAZI ( Kambi ya ya wavuvi wadogo msije fikiri ni hospitali maana ingekuwa kusini ingekuwa hospital
 
Happy Nation na Al Saedy ni Wakongwe sana wa route ya Mbeya..

Amekua sana na Sasa anawafikia washamba wa Lake zone πŸ€ͺπŸ€ͺ

Unyama mwingi sana Kwa Happy Natio πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…