Mussa Montelli
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 188
- 81
Tulia hapo hapo...maana unaongea sana....Bukoba...View attachment 2570616View attachment 2570617kwhy hayo ndo majengo ya bukobaππππππ
Mbona hamtiwekei aerial shot ya Bukoba unaleta kagorofa kamoja kamoja?Tulia hapo hapo...maana unaongea sana....Bukoba...View attachment 2570616View attachment 2570617View attachment 2570618View attachment 2570619View attachment 2570620View attachment 2570621
Nani kasema kitajengwa Kahama? π€£π€£π€£π€£Kahama Moja hyo View attachment 2571055
Umezidi kuwa nyuma nyuma sana ... nickel kiwanda kinajengwa eneo ilipokuwa buzwagi..Nani kasema kitajengwa Kahama? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Picha ziko wapi? Wapi wametaja Kahama hapa πUmezidi kuwa nyuma nyuma sana ... nickel kiwanda kinajengwa eneo ilipokuwa buzwagi..
Unatetemeka Kwa hofu na wivu mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Picha ziko wapi? Wapi wametaja Kahama hapa [emoji116]
Siwezi tetemeka pesa sio za Kahama ni za TanzaniaUnatetemeka Kwa hofu na wivu mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenye wivu watabisha[emoji116]...hapo marekani wanaongeza pesa tuSiwezi tetemeka pesa sio za Kahama ni za Tanzania
hii inchi iko hivi wala msipate taabu angalia ramani yake vizuri yaani kadiri unavyotoka kaskazini kuja kusini mikoa na wilaya ndivyo zinazidiana kwa ubora nikimaanisha maendeleo na kielimu hivyo huwezi linganisha kahama na njombeKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Umekamilka naona Bado ufunguzi TU wanasubiri viongoz watoe neno Ili umeme kutoka Uganda unakatika katika na solution ni hiiHuu mradi umefik asilimia ngapi ili tupunguze tatizo la kukatika kwa umeme?
Haka kanyumba ndio kanajengwa huko mbeya, na unakuja mbio mbio kupost, hakika mbeya ni kijiji cha wakulima, kuwa na aibu bro kuna vitu vya kuleta sio huu ujinga.To be built at Isyesye Mbeya View attachment 2571781View attachment 2571782View attachment 2571783View attachment 2571784
Hapa ni mlima kitonga au ni wap?
Kusoma hujui hata picha huoni? Kona za Mkoa ziko njia ya kwenda Chunya mbona mara nyingi tuna post humu?Hapa ni mlima kitinga au ni wap?