Mussa Montelli
Senior Member
- Jul 18, 2022
- 188
- 81
Yani wew huna akili sasa mlivyosema rami mbk kijijin mlikuwa mnajua vijiji gan acha kujitoa akili nyumbu wew jiwe aliwasaisdia nyumbu wenzake ila bdo yamezubaa kiakili kazi kuzaliana kama panyaSasa huoni anatoka shambani huyo? Ndo maana nasema hamna akili...kwanza ana viatu na anafanya kazi nyinyi si mnasema sijui wavivu...na hapo nyumba kali na watoto wake wanaenda shule...hvyo ndo watu wa kagera walivyo...
Kumbe mbeya ni jiji😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Bariad level ya mafinga maana ndo size bdo mafinga ipo juu mbali lbda tufananishe na kata 3 za jiji la mbeya
Naomb picha ya bukoba townWatapita wakiwa wamevaa baibui na miwani nyeusi kama vile hawaoni.
Sio jiji ni mega cityK
Kumbe mbeya ni jiji😂😂😂
Kata zipi ...Yale mabanda ya mbeya nayo ni kata?K
Kumbe mbeya ni jiji
Hakika ni mega city farm plus slum without vibes, with no city chaotic.Sio jiji ni mega city
Najua unapenda mabus...utakuwa utingo labda...Mwekezaji
Chuki humchoma aneifazi kama mnaumia sanaa leteni picha ya bukoba town tuchekeHakika ni mega city farm plus slum without vibes, with no city chaotic.
Mfa maji hachoki kutapatapa ww maskin usingeweza kupanda ABCNajua unapenda mabus...utakuwa utingo labda...
Nilipanda hilo bus sijui golden deer mbele limeandikwa new force...aisee bus kama daladala no charging yaan ni vurugu tupu mnazidiwa na mabus yakawaida yanayoenda huko Bukoba kama travel partner...
Huyu happy nation kaleta bus luxury la Dar to Bukoba...bus lina kila kitu hadi choo ndani...free wifi nk nk
Haya ni mambo ya kawaida kwa miji ya kanda ya ziwa...wala hutasikia wahaya wanajisifia...pamoja ya kuwa na epicentre ya masifa nchi hiiView attachment 2569189
Kwan nyie mnaishi kwenye majemgo ya biashara?Kagera huto tugorofa tuko mashambani huko na nyingi ni makazi ya watu sio majengo ya biashara ndio maana Mji umedumaa.
Naomb Picha ya bukobaKwan nyie mnaishi kwenye majemgo ya biashara?
Mnafanya kazi kwenye maghorofa halafu mnalala kwenye vibanda vya slums vilivyojaa iringa na huko mbeya....
Hiv mtu kweli unaweza kuishi hapa kweli? Halafu unalisikia linakejeli watu wa bukoba kujenga Vijiji vyao kwa maghorofa....
Mjipende aisee...
Mbeya sasaView attachment 2569192
Tafiti hubishiwa na tafiti....Usiletee takwimu walizokusanya watu wanaohesbia mbk mabanda wansema nyumba leta picha za hayo magorofa ya kagera nyumbu huwa mnaaminishwa ujinga mnaamn
Mbeya na kibera tofauti yao ni location tuKwan nyie mnaishi kwenye majemgo ya biashara?
Mnafanya kazi kwenye maghorofa halafu mnalala kwenye vibanda vya slums vilivyojaa iringa na huko mbeya....
Hiv mtu kweli unaweza kuishi hapa kweli? Halafu unalisikia linakejeli watu wa bukoba kujenga Vijiji vyao kwa maghorofa....
Mjipende aisee...
Mbeya sasaView attachment 2569192
Hapa panaitwa, kabwe na uhindini kwambali naona mwanjelwa.Kwan nyie mnaishi kwenye majemgo ya biashara?
Mnafanya kazi kwenye maghorofa halafu mnalala kwenye vibanda vya slums vilivyojaa iringa na huko mbeya....
Hiv mtu kweli unaweza kuishi hapa kweli? Halafu unalisikia linakejeli watu wa bukoba kujenga Vijiji vyao kwa maghorofa....
Mjipende aisee...
Mbeya sasaView attachment 2569192
Watasema mengine yapo chini ya ardhi.Tafiti hubishiwa na tafiti....
Ndo maana tunajadili hapa hatuchezi hapa....
TOA FACTS....achana mambo ya hisia....
NBS inasema kagera ina maghorofa 200 zaidi kuliko Iringa we unabisha? Toa tafiti yako sasa
Watoa tafiti watu kama wew na ww unaweza kutoa na kama hayo magorofa yapo tuma picha tuyaoneTafiti hubishiwa na tafiti....
Ndo maana tunajadili hapa hatuchezi hapa....
TOA FACTS....achana mambo ya hisia....
NBS inasema kagera ina maghorofa 200 zaidi kuliko Iringa we unabisha? Toa tafiti yako sasa
Unaweza kuwa sahihi kabisaa🤔🤔Watoa tafiti watu kama wew na ww unaweza kutoa na kama hayo magorofa yapo tuma picha tuyaone
Mega city ni jiji lenye watu milioni 10 na kuendeleaSio jiji ni mega city