Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Endelea kuipaisha kanda ya magharibi, wakati kwenu mmekalia ndumba na kusubiri uponyaji wa wachungaji uchwara.
Hutokuja kuwa na akili eti Kanda ya Magharibi 😁😁😁😁

Nakupa shuke inaonekana ulipata zero maarifa ya jamii na Geography..

Kanda ya Magharibi Ina Mikoa ya Tabora,Katavi na Kigoma.

Nyanda za Juu Kusini Ina Mikoa ya Rukwa,Songwe,Njombe,Ruvuma na Iringa,soon Mkoa wa Kilombero/Mahenge utaingia.
 
Leta fact mpumbavu mbwa wewe,TABORA Kanda ya kati na sehemu nyingine ilimegwa ikapelekwa katavi
Screenshot_20230328-113123~2.jpg
 
Hilo jamaa huwa halijielewi kabisaa, anashindwa kuleta vitu vya kanda ya kusini na kanda ya nyanda za juu kusini anaomba msaada kanda ya magharibi kila siku
Linajitahid kuonesha ujinga linao Kwa kichwa huku likiamini ni right
 
Hutokuja kuwa na akili eti Kanda ya Magharibi 😁😁😁😁

Nakupa shuke inaonekana ulipata zero maarifa ya jamii na Geography..

Kanda ya Magharibi Ina Mikoa ya Tabora,Katavi na Kigoma.

Nyanda za Juu Kusini Ina Mikoa ya Rukwa,Songwe,Njombe,Ruvuma na Iringa,soon Mkoa wa Kilombero/Mahenge utaingia.
angalia hapa, Rukwa ipo wapi?
gr1.jpg
 
angalia hapa, Rukwa ipo wapi?
View attachment 2568499
Nimegundua kumbe akili huna,hiyo tamani Yako sio official ni ramani tuu inayotumiwa na hao wanaofanya study sijui za vitu gani..

Kwa hiyo Morogoro ipo Kanda ya kati?

Kwamba Dar na Pwani zipo Kanda ya Kaskazini Mashariki sawa na Arusha au siyo? 🤪🤪🤪🤪

Ndio maana nimekwambia huna akili,tafuta classification rasmi za Serikali utaona.
 
Lete ewe zako znazotoa hyo classification
 
Nimegundua kumbe akili huna,hiyo tamani Yako sio official ni ramani tuu inayotumiwa na hao wanaofanya study sijui za vitu gani..

Kwa hiyo Morogoro ipo Kanda ya kati?

Kwamba Dar na Pwani zipo Kanda ya Kaskazini Mashariki sawa na Arusha au siyo? 🤪🤪🤪🤪

Ndio maana nimekwambia huna akili,tafuta classification rasmi za Serikali utaona.
Weka hapa tuzione
 
Serikali ikamilishe ujenzi wa Gati za Bandari ya Kabwe na Kipili Ili kuimarisha biashara badala ya utaratibu huu ambao ni very local
 
Mambo ni fire uboreshaji wa hospitali ya ilembula unaendelea ili iwe ya rufaa itahudumia zone ya makambako yenye watu zaidi ya laki nne
FB_IMG_16800052212294279.jpg
FB_IMG_16798543723498106.jpg
 
Back
Top Bottom