Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Unaweza tamani kuishi kwenye Kansa na mabanda ya nguruwe kweli?
Yule mwenye wivu na husda kwa kanda ya ziwa aliwalisha matango pori ili migebuka ipate soko, mimi namwambia alipotea njia, haya maji ya ziwa yaliyumika na bibi na mababu zangu mpaka leo bibi ana miaka 89 na sijasikia akilalamika chochote hata tumbo kuuma tu, pili kwanini kansa hiwe kwa wanawake na wengi wanatoka simiyu, Tabora, shinyanga mpaka singida kwani miji hizo nazo zina ziwa victoria?
 
Leta data za mbalizi hapa kutok chanzo cha kuaminika.
Ingia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?

Umewahi fika Mbalizi siku za hivi karibuni? In short pako busy Kwa ujenzi wa magorofa sio mchezo..

Mwisho Mbeya raha sana Ina SubUrbs 4,Mbalizi,Mwanjelwa,CBD-Matola na Uyole..
 
Umesema vzr maana suburb ni part of village ni kilimo tu
 
Ingia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?

Umewahi fika Mbalizi siku za hivi karibuni? In short pako busy Kwa ujenzi wa magorofa sio mchezo..

Mwisho Mbeya raha sana Ina SubUrbs 4,Mbalizi,Mwanjelwa,CBD-Matola na Uyole..
Huto tu centre kama twa mitaa ya huko bukoba, nyinyi bado sana
 
Ila Mwanza kwenye mabanda ya nguruwe ndio Kuna Jiji si ndio? 😁😁😁😁
Endelea kuwa hater hivyo hivyo, slum za mabatini na igogo kwa mbeya ni nyumba kali na nyumba kama za mabatini zinapatikana pale mtaa wa uhindini, otherwise 95% ya makazi ya wanambeya ni nyumba za tope kama zotee.
 
Ingia mwenyewe Mbeya DC,Kwa akili zako ndogo unadhani Mbalizi inapolilia kuwa TC council wanafanya mzaha au?

Umewahi fika Mbalizi siku za hivi karibuni? In short pako busy Kwa ujenzi wa magorofa sio mchezo..

Mwisho Mbeya raha sana Ina SubUrbs 4,Mbalizi,Mwanjelwa,CBD-Matola na Uyole..
We ni mpumbavu square leta fact za maana
 
Unajua moto wa Jiji sema akili zako zmeliwa na dumuzi hyo mbeya ni manispaa kama kahama tu
Huwa anajitoa akili japo kuna muda anakaa sawa, utasikia mwanza ni jiji kubwa, mara huko kanda ya ziwa jiji la Mwanza ndio linawabeba, wakati huo ametoka kusema bukoba ndio pazuri😂😂😂😂
 
Akili zake ndani fuse zmeachia hvo znashka Kwa shida sana
 
Maneno mengi naona unatambia kakiwanda cha chai na pipi, hata mimi naweza kuwa na kiwanda cha pipi alafu hata mama yng anaweza kutengeneza majani ya chai, leta vitu vya kueleweka, Bukoba sio size yenu nyinyi walugalu.
Hebu tufanye hiv....kagera sugar isitishe uzalishaji wa sukari kwa mwezi tu uone kama hawataandamana sukari haipo

Hao watu nimeachana nao...hiv unaweza linganisha kiwanda cha sukari na cha pipi?

Ukiangalia haya masuala kiundani Bukoba iko mbali sana tu...
 
Back
Top Bottom