Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkuu stendi ilianza kujengwa 2013 kabla mhindi alitepewa tender kufariki,na Soko pia ilikuwa sehemu yake okifadhiliwa na World Bank.Hospital sawa lakini hatuwezi kumshukuru JPM Kwa kuwa tulikuwa tunastahili kama ambavyo sasa tunajengewa barabara ya Zege.Lakini pia tungekuwa watu choka tusingepewa hiyo miradi😀😀
 
BUKOBA na Moshi ni Toka enzi ziko na shule nying mno za advance na mpaka Leo
Nikumumbushe Moja ya mikoa iliyokuwa na shule kubwa za serikali huwezi iacha Iringa Mkwawa secondary kabla kubadilishwa kuwa chuo ilikuwa level nyingine.Watu kibao toka pembe zote za nchi hii wamepita Mkwawa.Ilikuwa na wanafunzi zaidi 1000,Kuna Ifunda Tech,Malangali zote ni kongwe na zimezalisha wasomi wengi sana.Sema ukanda wetu watu walifocus kwenye kilimo na biashara shule zaidi sera ya ilikuwa ni vijiji na familia zaidi.
 
Kaka acha kufananisha iringa na uchafu huo bukoba unaifananisha na na iringa kipi
 
Chiki zenu TU znawasumbua na kimsingi hazisaidii kabisa japo kuelewa inahitaji akili ya ziada na sio kukariri
 
KKa
Kaka wew umeongea uhalisia na sio ushabiki bukoba ya kitambo ila kwenye maendeleo ipo slow sanaa tofaut na njombe yenye miaka 10 tu ipo vile sasa njombe ikifka miaka 20 itakuwa mbali sanaa
 
Mkoa wa kagera na Kilimanjaro bado znaongoza zna shule nyingi mno za advance na ordinary level bas ni ubishi usio maana
 
KKa

Kaka wew umeongea uhalisia na sio ushabiki bukoba ya kitambo ila kwenye maendeleo ipo slow sanaa tofaut na njombe yenye miaka 10 tu ipo vile sasa njombe ikifka miaka 20 itakuwa mbali sanaa
Jombe maendeleo yapi Sasa au kupew huduma ambazo haikuwa Nazo unaona ni maendeleo?
 
Hizo ndo chuki na sio ukwel ila ukwel utabaki pale pale bukoba huwez kulinganganisha na iringa tena imeachwa mbali snaaa kwenye swala la maendeleo ila kimapenz lzm mtu ubishe maana unatetea kwenu ila ukwel mnaujua
 
Toa hoja maana kaongea fact bas toa nawe fact za iringa ambazo ni potential na znajulikana
Iringa ina fursa ya kililmo,iringa ndo lango la utalii kusini nzima,ndo mkoa wa kielimu kuliko bukoba,kiuchumi iringa ni industrial base, miundombinu ndo usiseme stendi ipo soko yapo hali ya hewa potential pia idadi ya watu kubwa kuliko bukoba na kimapato pia kubwa haya lete vtu vya bukoba kuizd iringa
 
Suala la miundo mbinu bukoba adi vijijini Kuna lami,
Kuna viwanda vikubwa vya samaki zaidi ya viwili,,kiwanda Cha sukari,kiwanda Cha chai,kiwanda Cha kahawa,Bandari kubwa kabisa inaunga Uganda,kiwanja Cha ndege kikubwa na Kiko bize nazani Cha TATU ukitoa dar,mwanz,,KIA,Shule za advance ni nyingi sana ihungo,nyakato,kagango,...pia Kuna vyuo kama SAUT,UDSM,JOCUCO,nk,pia Ndo mkoa una Kambi za jeshi zaidi ya mbili,na vitu vingi sana
 
Hizo ndo chuki na sio ukwel ila ukwel utabaki pale pale bukoba huwez kulinganganisha na iringa tena imeachwa mbali snaaa kwenye swala la maendeleo ila kimapenz lzm mtu ubishe maana unatetea kwenu ila ukwel mnaujua
Hamna facts iringa Kwa lipi Sasa suala la stand ni mpango mkakati at Arusha Haina stand lakin Moro Ina standa,,pia bariad Ina stand,kahama inajengwa,hivo sio inshu sana maana Toka miaka hyo hatukuwazaga stand but hayat Ndo kaleta mambo kama hayo
 
Chuo gan cha udsm kaka🤣🤣🤣🤣🤣 usipende kupitiliza kama hvyo vtu vyote vipo vzr bukoba isingekuwa vile ilivyo hata mapato hmn sasa hvyo viwanda vina kazi gan na.kwenye swala la viwanda bukoba haina viwanda vikubwa kuliko iringa bukoba ina processing industry iringa kuna manufacturing industry ukikutana na mtu mwenye akili timamu na aliefka miji hii muulize alaf utapata jibu pole sana kaka
 
Udsm wana branc mbili tu moja duce ipo dar na nyngne Muce ipo iringA hiyo udsm ya bukoba inaitwaje
 
Na sehemu kama iringa,singida na Moro ndo Unaona stand finyu TU maana hakuna magari yanalala labda kidogo Moro stand magar yanalala ila singida na iringa ni njia ya kupita TU Sasa fika bukoba magari ya Kampala to mwanza,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…