Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Yote ina fursa inategemea unatk kuwekeza kwenye nini kama kilimo utaenda njombe na mafinga ila kama biashara utaenda kahama
Update daraja la kimataifa la busisi.asilimia 70
20230325_212933.jpg
20230325_212922.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Around makambako tc tarura wanazidi ku connect Barabara za lami na sub town na hapa ni ilembula now ni km 26 from makambako baada ya ujenzi wa short cut way full kujengeka
thumb_584_1130x480_0_0_auto.jpg
 
Jiji la dhahabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Huwezi Amini kwamba hapo ndio dhahabu Inatoka na pamechakaa hivyo..

Pili kumbe Miji yenu Iko jirani na migodi ndio maana mnakufa hovyo na pia Kansa Kila sehemu..

Siwezi ishi Kanda ya Ziwa Kila siku nawaambia sio salama Kwa Afya ya binadamu..

Hiyo Tarime nayo bila csr ni Kijiji kingine,huko kwenu maisha ni hovyo sana.
 
Toa ujinga hicho ni kijiji Tena sio tarime mjini....
We na sayansi wapi wapi leta empirical facts za kuwa migodi ni chanzo kikubwa Cha Kansa..uje na scientific basis

Nani kakualika uje uishi huku ,,,na nani yupo tayari kuja kuishi kusini ambako watoto wanapata udumavu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa ujinga hicho ni kijiji Tena sio tarime mjini....
We na sayansi wapi wapi leta empirical facts za kuwa migodi ni chanzo kikubwa Cha Kansa..uje na scientific basis

Nani kakualika uje uishi huku ,,,na nani yupo tayari kuja kuishi kusini ambako watoto wanapata udumavu .

Sent using Jamii Forums mobile app
Tarime mjini Iko wapi? Leta tuone
 
Yote ina fursa inategemea unatk kuwekeza kwenye nini kama kilimo utaenda njombe na mafinga ila kama biashara utaenda kahama
Ndio na ndo maana miji ya biashara Ina watu wengi kuliko mashambani tunaenda kulima TU mfano mm nalima mbeya nasafirisha tena angalau Ile Barabara wanapiga dual carriage nisafirishe vizr
 
Back
Top Bottom