Kahama VS Njombe/Mafinga

Mkoa wa wahuni na matapeli..

Stand mbaya kama godowns,Mbeya wasijenge ujinga kama huu.
 
Hata hvyo wamejithd maana bukoba hmn hotel yoyote ya maana
Ndo maana hata unayemreply anakushangaa kimsingi Bukoba ina hotel nyingi kuliko hata hiyo mbeya yenu...au unataka tuanze kupost hotel moja moja....

Wew kama unaichukia Bukoba utaendelea kuumia mwenyew...maaana Bukoba itaendelea kukua siku hadi siku...

Google tu yenyew inasema Bukoba kuna hotel 27.....wew ushawahi hata kulala kwenye moja wapo? Kama hulali kwenye gest bubu...
Ingia hapo na uangalie hata reviews

 
Mbona hujaweka za Mbeya Sasa unaweza hicho kiijiji chako Ili kujifariji? 😁😁😁😁

Huko Kanda ya Ziwa hakuna Miji ya maana ni ujinga ujinga tuu.
 
Sasa airport gan ile ina urefu sawa na na kiwanja cha mpira ndo maana ndege znaanguka
Ndo maana nasema una utoto mwingi na kuongea kama mwanamke...wanaume tunaongea na facts sio hisia....

Bukoba Airport ina urefu wa 1.7km ina the best Airport Terminal ukiondoa ile ya Dar na KIA kwa Tanzania....Na soon inaamishwa hapo...

Bukoba iko top five ya domestic Airports zenye passenger wengi Tanzania hii...imagine Bukoba inaizidi hadi Dodoma kwa abiria...yaan ukitoa Mwanza, Arusha na Songwe Airport Bukoba ndo kuna abiria wengi zaidi kuliko miji yote iliyobaki....
Nyie endeleeni kujisifia mastend ambayo hamtaki kuyatumia mfano ile stendi ya Igumbilo
...upotevu wa pesa tu...stendi iko underutilized si bora wangeijenga somewhere mjini....kama walikopa watakoma...

Bukoba wako so planned hawakurupuki kujenga miradi yao...ndo maana walianza na ujenzi wa Airport miaka ya 2012 na Bukoba ports...
Na stendi wameanza kuijenga mwaka huu...




Hapo chini ilikuwa 2018...angalia abiria wa Bukoba Airport....wap Iringa
 
Hmn kitu bukoba bhn stand tu shida ni manispaa ila bdo ina changamoto nyng
Bukoba na Lindi ni kundi Moja zote ni Manispaa majina Kwa vile ni Makao Makuu ya Mikoa tuu πŸ€ͺπŸ€ͺ

Harafu hata kwenye mradi wa Tactic sijaona yaani Huwa naionea Sumbawanga kuishindanisha na Bukoba..

Ila tugorofa mumejitahidi kwingine ni zero.
 
Huna hoja,Vyuo 2 sijui 3 ndio vimejaza Mji au? Huna hoja ,hizo ni excuses za kitoto..

Moja ya sifa kubwa ya Iringa ni Ina CBD nzuri yenye majengo marefu.

Pili Iringa ni Mji wa viwanda usisahau Hili.
 
Wew jamaa...hata wew unaweza ukafungua channel yako ya YouTube ukapost content na zikaangaliwa....

But Iringa ni kamji kadogo sana...ingawa ni kasafi
Kadogo kulinganisha na Mji gani Kabukoba kanaweza sogea hata Kwa Iringa kweli?

Kwanza Songea tuu ni nzuri kuliko Bukoba.
 
Acha ujinga kulinganisha na kagera na mikoa ya watu washirikina....
Huna hoja siku hizi wewe dingi,Bukoba inaingia mara 2 Kwa mapato ya Njombe..

Kasi ya Maendelea ya Mji wa Njombe ni kubwa kuliko dormant town of Bukoba.
 
Mtaa wa miembeni mjini Bukoba....


Leta mitaa kama hii kutoka Mbeya....mbeya ni mji mkusanyiko wa slumsView attachment 2563235
Mbeya ni Jiji wewe mbuzi tena Jiji kubwa Lina mitaa mingi tuu ya maana iliyojengwa vizuri kuliko hako kamtaa kama kamoja hapo Juu na wewe unajua..

Kwa hiyo siwezi hata kujisumbua kulinganisha hicho Kijiji Cha Bukoba na Mbeya..

Mbeya size yake ni Mwanza is big slum..
 
Nchi hii kupata mkoa mpaka uwe na kiongozi mkubwa anaetokea eneo hilo ndo atie mkazo.kahama hawana ndo maana hawaifikilii,ila ina diserv kabisa kua mkoa,watu milion na ushee,halmashauli 3,ina mapato ya kujiendesha,eneo inajitosheleza.
Kahama haitokuja kuwa Mkoa makwe labda sijui wachukue Wilaya zipi maana ukiifanya Mkoa Shinyanga utaifuta au?

Mwisho watu mil.1 watoke wapi hapo Kahama na Wilaya zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…