Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Building cliff in mwanza
IMG_20230315_172935_154.jpg
 
Mwanza cc nyamagana. 426154 ilemela 402175 total 828329 Haya Sasa waliokuwa wanasema population itafika milioni
Milioni waitoe wapi wakati Mkoa mzima wameongezeka watu 900k tuu Kwa miaka 10?

Ndio kusema wameongezeka watu 100k tuu kutoka 700k ya 2012..

Dom hawajaweka takwimu ila pale watakuwa wameongezeka sio chini ya 300,000 na I bet Dom itakuwa na wakaazi 600k hivi.
 
Tatizo Sisi Kanda ya ziwa hatununuag mashoga hivo utatuchkia mpaka unazikwa we danga huko na kingine Kanda ya ziwa inabaraka zake Toka Dunia kuwepo hivo haiwez zimwa na porojo zako zisizo na tifa
 
Halimashauri ndo serikali hiyo na ndomaana maswala ya kujenga miundombinu wanasubl kupewa hela na serikali kuu ikitenga bajeti na hayo mapato yanatokana na uwekezaji mkubwa kwenye migodi ya madini yanayolipa kodi kubwa na maeneo meng ya biashara
Aibu kabisa na Leo ndio nimejua yaani Mapato ya Halmashauri Hadi Mgodi utoe? Huko hakuna biashara za mtaani?

Bila Mgodi Halmashauri za huko ni hohehahe kimapato
 
Utahangaika sana ewe malaya lakin ukweli unao jizime switch sasa
Wapi panakuuma nikutibu? 😁😁
Bajeti ya Geita TC Huwa ni Bil.11 Kati ya hizo Bil.10 ni za Mgodi 😆😆

Inaonesha mtaani maisha yenu ni hovyo sana aisee
 
Wapi panakuuma nikutibu? 😁😁
Bajeti ya Geita TC Huwa ni Bil.11 Kati ya hizo Bil.10 ni za Mgodi 😆😆

Inaonesha mtaani maisha yenu ni hovyo sana aisee
Utahaha Sasa kama unapenda exposure jitahid uje ujioneee mwenyewe halafu urud kwenu kusimuliwa, pia at kama za mgodi ni sawa maana ni Mali ya wananchi lazima kunufaika nao
 
MBeYa jiji 468751
Mbeya ichukue Mbalizi iwe Manispaa,Uyole Manispaa na Jiji Mbeya CC itafikia walau watu 650k maana sioni sababu ya eneo la kuanzia Songwe Viwandani kuachwa Nje ya Jiji wakati eneo lote limeungana..

Hii itasaidia kile eneo kupimwa mapema kuliko kuacha ilivyo Sasa makazi yanazidi kusogea kwa Kasi opposite ya Songwe Airport,no one is responsible kupima.
 
Utahaha Sasa kama unapenda exposure jitahid uje ujioneee mwenyewe halafu urud kwenu kusimuliwa, pia at kama za mgodi ni sawa maana ni Mali ya wananchi lazima kunufaika nao
Siwezi kuja huko Vijijini,nitaenda Bukoba walau Huwa kunanivutia.
 
Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi maana Kila kitu kipo mbuga za wanyama,migodi,ziwa,kilimo,ufugaji, ndo maana watu wanajenga maghorofa Kwa kushindana kabisa
 
Yaan nakuona kama akili zako zmeliwa na nazan ulitumbuliwaga Sasa hutaki kukubali kosa lako unaendekeza chuki zenu na ubinafsi ndo umeidumaza mikoa ya kusini yote kulogana,wivu na ukabila ni adui wa maendeleo
 
Back
Top Bottom