ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,171
- 88,125
- Thread starter
- #14,101
Nyumba nzuri kabisa hizo ..utafananisha na vichanja vya huko ilemi [emoji28][emoji28][emoji28]Yanazidi haya [emoji116]View attachment 2554177
Siwezi ishi kwenye mamiji ya kisenge kama Mwanza Kila sehemu unayogeuka ni mabanda ya nguruwe 😀😀Nyumba nzuri kabisa hizo ..utafananisha na vichanja vya huko ilemi [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sisi hatutaki mahayawani waishi huku [emoji116]Siwezi ishi kwenye mamiji ya kisenge kama Mwanza Kila sehemu unayogeuka ni mabanda ya nguruwe [emoji3][emoji3]
Mbeya is a talk of flyover and a dual super carriage Highway.Mbeya ndio jiji pekee Tanzania lisilo na keep left ya maana View attachment 2554199View attachment 2554200
Sent using Jamii Forums mobile app
Flyover ya matako gani ..hata kwenye mpango hammo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]Mbeya is a talk of flyover and a dual super carriage Highway.
Vijiji.vya hovyo kama Mwanza ndio mnaona keep left ni kitu Cha maana [emoji1787][emoji1787]
Mbeya ni uswazi jiji Zima[emoji116]Mbeya is a talk of flyover and a dual super carriage Highway.
Vijiji.vya hovyo kama Mwanza ndio mnaona keep left ni kitu Cha maana [emoji1787][emoji1787]
Hizi ni nyumba Mitaa inaonekana na Barabara zinaonekana..Mbeya ni uswazi jiji Zima[emoji116]View attachment 2554224View attachment 2554225
Sent using Jamii Forums mobile app
Makasiriko ya wivu usio na Tija,ujenzi umeanza just wait mda utasemaFlyover ya matako gani ..hata kwenye mpango hammo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji116]View attachment 2554221View attachment 2554222
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta procurement notice hapa ..ili nizimie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...nyie subirini njia nne kama za Sumbawanga hizo [emoji28][emoji28][emoji28]Makasiriko ya wivu usio na Tija,ujenzi umeanza just wait mda utasema
Hii hapa 👇🤣🤣Leta procurement notice hapa ..ili nizimie [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]...nyie subirini njia nne kama za Sumbawanga hizo [emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
We kweli nothing in ...Baada ya Geita ,Chunya is second [emoji116]
Hakuna chochote huko Shinyanga ni mashimo tupu saizi
Poorly exposed..Hakuna chochote huko Shinyanga ni mashimo tupu saizi
Mwanza Jitahidini mfikie level hizi za Jiji la Mbeya 🔥🔥