ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,247
- 85,126
- Thread starter
- #14,081
Mradi unatekelezwa kwa phases,Kuna Mgodi wa umeme megawatt 600,Kuna Mgodi wa makaa ya mawe,Kuna Mgodi wa chuma,Kuna kiwanda Cha bidhaa za chuma.Kwahyo Hela ulotaja sahau mwekezaji kuwekeza labda umekurupuka maana hamtumii akili mnamia kamas kuwaza akili zenu fupi 😂😂
Hadithi njoo uongo njoo utamu kolea.Nasema hivi , thamani ya investment inayotakiwa Liganga pekee ni dola bil.4.5 yaani Til.10.
Hatujagusa mambo mengine, serikali Iko kwenye mazungumzo ya mwisho na wawekezaji na kumbuka mwekezaji hana Mpango wa kutumia umeme wa Tanesco atazalisha mwenyewe hapo hapo Kwa makaa ya mawe..
Unganisha huto tumiradi twenu haifikii hiyo project Moja.
Mradi unatekelezwa kwa phases,Kuna Mgodi wa umeme megawatt 600,Kuna Mgodi wa makaa ya mawe,Kuna Mgodi wa chuma,Kuna kiwanda Cha bidhaa za chuma.
Watu mna vichwa kama ugali mtapata wapi akili? 😀😀😀😀
Naona unaleta hadithi za watu wanakwambia ufugaji gombe wa maziwa analipa wanakupa na faida bila kukupa changamoto zake amka ew kenge
Hizo takwimu za mchongo umezipata wapi ..Kwa hyo mbeya inalingana na nyamagana





Acha kukurupuka ,soma maelezoHizo takwimu za mchongo umezipata wapi ..Kwa hyo mbeya inalingana na nyamagana
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanazidi haya 👇