Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Wewe hutokuja kuwa na akili Hadi unafukiwa πŸ™†πŸ™†
Kat yangu na wew Nan Hana akili kama kusoma hapo umeshindwa kuelewa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wanakwambia specific priority 2023/24 ni SGR,,,lakin pia railway ya mtwara mbambay kwanza Haina faida ishagasiz hyo
 
Mgodi wa mzungu ndio unaweza kujisifia una akili timamu?

Pili hako kamgodi kama uwekezaji upi wa kuweza kushinda Iron ore ya liganga?

Sgr ya MbambaBay to Mtwara?

Mabwawa ya umeme ya Ruhudji,Lumakali nk?

Usiwe mweupe kama huyo kiasi anayepayuka hovyo hapo.
Vipi kenge wa madaba umekufa au
 
Mgodi wa mzungu ndio unaweza kujisifia una akili timamu?

Pili hako kamgodi kama uwekezaji upi wa kuweza kushinda Iron ore ya liganga?

Sgr ya MbambaBay to Mtwara?

Mabwawa ya umeme ya Ruhudji,Lumakali nk?

Usiwe mweupe kama huyo kiasi anayepayuka hovyo hapo.
Kanda ya ziwa haina SGR, haina migodi ya Diamond na Gold pamoja na nikel, kaa kwa kutulia.
 
Huo umeme utapelekwa kote Tanzania.
 
Huo umeme utapelekwa kote Tanzania.
Wafanyakazi,Pesa za ujenzi na mitambo itakuwa Njombe hivyo kuinua GDP ya Mkoa.

Ujenzi unaambatana na ujenzi wa Barabara na miundombinu mingine kama usambazaji maji nk hivyo kuzidi kuboresha maisha kwetu,nyie mtaambulia umeme tuu.
 
Kanda ya ziwa haina SGR, haina migodi ya Diamond na Gold pamoja na nikel, kaa kwa kutulia.
Nasema hivi , thamani ya investment inayotakiwa Liganga pekee ni dola bil.4.5 yaani Til.10.
Hatujagusa mambo mengine, serikali Iko kwenye mazungumzo ya mwisho na wawekezaji na kumbuka mwekezaji hana Mpango wa kutumia umeme wa Tanesco atazalisha mwenyewe hapo hapo Kwa makaa ya mawe..
Unganisha huto tumiradi twenu haifikii hiyo project Moja.
 
Sa hv Dunia inaenda kwenye clean energy.. nani mwekezaji aje arisk pesa ndefu kama hyo Kwa faida isiyo dhidi miaka 10 .
.nipo hapΓ  mkipata mwekezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi , thamani ya investment inayotakiwa Liganga pekee ni dola bil.4.5 yaani Til.10.
Hatujagusa mambo mengine, serikali Iko kwenye mazungumzo ya mwisho na wawekezaji na kumbuka mwekezaji hana Mpango wa kutumia umeme wa Tanesco atazalisha mwenyewe hapo hapo Kwa makaa ya mawe..
Unganisha huto tumiradi twenu haifikii hiyo project Moja.
Kwahyo Hela ulotaja sahau mwekezaji kuwekeza labda umekurupuka maana hamtumii akili mnamia kamas kuwaza akili zenu fupi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya uwekezaji huo na Kaz imeanza bado upande wa chuma manyumbu sijui mnaongea nini
WhatsApp Image 2022-08-25 at 9.34.38 AM (1).jpeg
FB_IMG_16755766379959198.jpg
 
GDP MKOA WA NJOMBE ITAONGEZEKA KWA KASI SANA ni mkoa wa pili ukitoa DSM unakua kwa Kasi kiuchumi inafuata pwan ,dodoma ,mwanza na katavi ko kaa tayar kuliona GDP ikipanda hatari
FB_IMG_16788596363224305.jpg
thumb_1429_300x200_0_0_auto.jpg
thumb_1430_800x420_0_0_auto.jpg
Fpw9vbhWAAETxZF.jpg
PICHA-2.jpg
thumb_1445_800x420_0_0_auto.jpg
 
Back
Top Bottom