Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

IMG-20230314-WA0060.jpg
 
Soma Vizuri hyo bajeti nimeipost kidogo kurasa sijazipangilia but utaelewa ukiona humo Kuna jombe unitag
 
Utu tu mradi tunamezwa na mradi mmoja tu wa Nyanzaga gold mine.
Mgodi wa mzungu ndio unaweza kujisifia una akili timamu?

Pili hako kamgodi kama uwekezaji upi wa kuweza kushinda Iron ore ya liganga?

Sgr ya MbambaBay to Mtwara?

Mabwawa ya umeme ya Ruhudji,Lumakali nk?

Usiwe mweupe kama huyo kiasi anayepayuka hovyo hapo.
 
Mkitaka kuwajua Wahaya wasikilize hapa chini 😁😁😁😁
 
Huoni aibu hyo post Kwa njombe ni hydroelectric power ambayo at siyo fursa kabisa kwenu ila inanufaisha mikoa mikubwa kama dar na mwanza, pia usidikir sjui kuwa kusini mpaka Leo umeme bado shida kubwa mno
Wewe hutokuja kuwa na akili Hadi unafukiwa 🙆🙆
 
Mgodi wa mzungu ndio unaweza kujisifia una akili timamu?

Pili hako kamgodi kama uwekezaji upi wa kuweza kushinda Iron ore ya liganga?

Sgr ya MbambaBay to Mtwara?

Mabwawa ya umeme ya Ruhudji,Lumakali nk?

Usiwe mweupe kama huyo kiasi anayepayuka hovyo hapo.
Kumbe ew ni kenge mbamba bay sio SGR soma vizr mbwa ew hapo wamesema priorities kubwa ni SGR pia railways ya mtwara mbambay jitahid kuelewa na kujua zaidi
 
Back
Top Bottom