Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kusini mlichojaliwa ni roho mbaya TU na kulogana hovyo nani ajenge huko at mwingiliano wa watu hamna,, mtu akiajiriwa huko mnamloga
 
Soma comment pimbi wenzio wanavyokana kwenu na kukatalia lake zone
Screenshot_20230311-222835.jpg
 
Ndo maana huko maendeleo hamna maana ni mikoa ya mashamba unalima unasafirisha angalia Kanda ya kati,lake zone ,kaskazin, na pwani ni mikoa ya biashara TU na ndo maaana watu ni wengi mno
Mikoa yenye maendelea wanakofnya biashara naona mko vizuri kwenye dream houses
e4a664_bbd1ff8ae4af4da68adb26d8489fb7dc~mv2.jpg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM-950x634.jpeg
Mwanza 3.jpg
Photo+16-03-2017%2C+10+33+31+AM.jpg
X.jpg
🤣🤣🤣🤣
 
Maazimisho Leo yanafanyika kitaifa mwanza njoo umuone zuchu maana hujawah kumuona mbwa ewe
IMG_20230314_163556_526.jpg
 
Leta uchafu wowote unaoitwa Kahama au Shinyanga na Vijijini vya Geita tuone aerial view kama hii Ili nifunge Uzi..

Ukiona uswazi kama wa huko makambini kwenu nitag.

Songea MC
mazplusfly_tz_1678794078297232.jpg
mazplusfly_tz_1678794078297834.jpg
mazplusfly_tz_1678794188373364.jpg
mazplusfly_tz_167879418837352.jpg
mazplusfly_tz_1678794188373388.jpg
 
Back
Top Bottom