Kahama VS Njombe/Mafinga

Hawajui hao pimbi maana maendeleo kwao karibia yameanza 2015 pia watu hawawekez huko maana hakuna biashara na watu wa huko hawana muda na refreshment wako bize wanalima halafu tunanua mazao Bei che tunaleta kwetu Kwa biashara
 
Hvyo vijiji ni vipo kwenye kata hizo ndo ujue bdo mji haujatanuka ila ukitanuka vijiji havitakuwepo
 
Hvyo vijiji ni vipo kwenye kata hizo ndo ujue bdo mji haujatanuka ila ukitanuka vijiji havitakuwepo
Hata utanuke vipi vijiji vipo TU maana eneo ni kubwa Sasa kama NAIROBI yenyew ni ordinary mega city lakin vijiji bado vipo fikiri palefu ewe mbilikimo
 
Na SAUT mwanza ni tawi lakini mbeya itakuwa chuo kamili, kweli huwa unaota mchana kweupe.
 
 
Na SAUT mwanza ni tawi lakini mbeya itakuwa chuo kamili, kweli huwa unaota mchana kweupe.
CuCom unaijua? Catholic University College of Mbeya,zamani Saut Mbeya Centre..

MuChas-Mbeya University College of Health and Allied Sciences Kwa Sasa inasimamiwa na Udsm wakipata majengo Yao na hospital hakuna degree itasoma Udsm Bali Mbeya..

Njaa imeondoa akili 😂😂
 
Tushaiona Kila siku mnapost tuliwajengea Hilo soko lakin hiyo bado sana amuken pimbi nyie mkoa hupasw kuwa na soko dogo hivo njoo uone la shinyanga limevunjwa linajengwa upya
Umekula kwanza? 😆😆😆😆

Eti Kila siku tunapost kwani ilikuwa Ina centre ya Watoto?
 
Umekula kwanza? 😆😆😆😆

Eti Kila siku tunapost kwani ilikuwa Ina centre ya Watoto?
Sisi afya tele samaki,dagaa,furu,na mananasi ya kutosha unauliza kula majiji ya biashara nyie limen sisi tunanua tunageuza fursa huko lieni na pembejeo mbilikimo nyie
 
Ningekuwa siijui mbeya ungedanganya hakuna UDSM mbeya na hii alisemag kikwete waweke taw lakin ikashindikana na eneo waliteuaga ila ukabila wa wanyakyusa ukakwamisha

Halafu sikia ewe kenge vyuo vya afya ukioa MUHIMBILI inafata BUGANDO mwanza
Kingine chuo Cha SAUT kipo mwanza huko kwenu ni vijitawi,
Mwanza Kuna TIA
DIT
IRDP
MWANZA HEALTH UNIVERSITY
IFM
CHUO CHA UHASIBU
nk
 
Kahama municipal duuh natamani uuitwe mkoa maana sio Kwa kupendelewa huko now Kuna stand inajengwa ya kiwango ambapo mpaka now mbeya wanakula vumbi tupu
 
Cjakwambia nataka picha za hotel ila natak picha ya CBD ya kahama hotel zipo kila mkoa n


Nikikuita mpumbavu utalaumu? Jibu swali Kwa vyote hivyo Kahama inaizidi nini Tunduma? Au hivyo vimewasaidiaje hapo gulioni?
kwani tunduma inaizidi nini kahama we nguruwe kweli yaani wilaya ulinganshe na manispaa...Yaan kitendo tu cha kuwa manispaa hilo ni jibu tosha msijilinganishe na sisi ..Sisi tulinganisheni na manispaa sio miji
 
Wewe sio tuu mjinga Bali ni mpumbavu wa kukuacha hivyo hivyo na upumbavu wako..

Uko sahihi kabisa haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…