Hao wachapakazi 80% ni wasukuma walizamia huko kwenye mashamb ya wavivu, tunalima huko tunapata pesa tunaenda kujenga mahotel kahama.Magulio Yako Lake zone, Nyanda za Juu Kusini Kuna wachapa kazi
Tunaomba takwimu hapa tufananisheEndeleeni kujifurahisha, na kujipa umaarufu kupitia kahama, amna chochote cha kuizidi kahama wala kujifananisha nayo.
Umaskin upi huku kwetu Kila wilaya ni manispaa ila hko kwenu hola wasrmge nyieYet mnaongoza Kwa umaskini ππ
Shida hamna akili ππ
Acha kujipa moyo, huku kanda ya ziwa tukisiki mtu katokea nyanda za juu kusini huwa tunamshusha sana hadhi yake.Mikoa maskin Tanzania inatoka ukanda gan kama sio unyumbuni
Leta cbd ya mbeya nimekumbuka kucheka na muda mrefu.π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Alaf unasema kahama ni mji hv unaakili timamu maana mji lzma uwe na CBD yake sasa mji unakuwa kama mtaa wa kihesa pale iringa town
Huko huko mnakoyegemea kuishi Kwa chakula Cha njaa Cha Serikali πππUmaskin upi huku kwetu Kila wilaya ni manispaa ila hko kwenu hola wasrmge nyie
Kwa nini msichape kwenu huko kunakoongoza Kwa umaskini mje kuchapa Kwetu? πππHao wachapakazi 80% ni wasukuma walizamia huko kwenye mashamb ya wavivu, tunalima huko tunapata pesa tunaenda kujenga mahotel kahama.
Kanda ya ziwa tunakula mchele kutoka kahama, kahama ni jiji la biashara, kilimo, ufugaji, madini na utalii wa starehe kwa hapa Tanzania.Kahama kuna fursa gan zaid ya biashara tu kaka au unatk useme kuchunga ng'ombe nayo ni fursa
Nguruwe na gombe wanalipa usisahau na uvuvi ndo biashara zetu maana lake zone ni biashara na ndo tunapepea manispaa na majiji soon bukoba itatangazwa Jiji Kaen mkao wa kuskia Hilo pimbi nyie
Kama vinalipa mbona Bado mnaongoza Kwa umaskini Tanzania?
Kama Hilo gulio ndio Jiji Lenu basi nyie ni certified idiots ππKanda ya ziwa tunakula mchele kutoka kahama, kahama ni jiji la biashara, kilimo, ufugaji, madini na utalii wa starehe kwa hapa Tanzania.
Bukoba hii ambayo haina hata daladala ya town tripNguruwe na gombe wanalipa usisahau na uvuvi ndo biashara zetu maana lake zone ni biashara na ndo tunapepea manispaa na majiji soon bukoba itatangazwa Jiji Kaen mkao wa kuskia Hilo pimbi nyie
Ndio sisi tunafunga,tunavua,na ndo biashara je huko Kuna Fursa gan mtu akija afanye si hamna mtaanza et alime viazi Sasa zao la kusubuli msimu ndo maana hamuendelei ila sisi huku masika kiangazi tunapeta TU maana kwetu ni biashara TU mbwa nyieHuko huko mnakoyegemea kuishi Kwa chakula Cha njaa Cha Serikali πππ
Jinga hili la Sengerema huko
Ingia NBS utakuta humo humu sio darasani kutafuniwa kila kitu.Naomb uthibitisho wa hiyo takwimu
Sikia ew pimbi tumekwambia unahis kwanini wasanii wanapiga show KAHAMA na sio kwenu pimbiKama Hilo gulio ndio Jiji Lenu basi nyie ni certified idiots ππ
Kila dakika mnarudia kuleta picha za ushuzi huu kila muda adi mnakeraHizi Ndo hoteli mzee leta za mkoa wa shinyanga kama hazi fanani na lodge njombe region ni fireView attachment 2545814View attachment 2545815View attachment 2545823View attachment 2545826View attachment 2545828View attachment 2545829View attachment 2545816View attachment 2545817View attachment 2545819View attachment 2545821
H
Inakimbiza kwenye udumavu na lishe duni hongereni.Sasa huko ni Rural MbambaBay Nyasa ila inakimbiza huoni kwamba nyie ni maskini?
Kama Tazara ipo kwanini manalilia sgr kila wakati, hiyo tazara yenu imetia hasara hii nchi na hakuna faida yoyote huko limebaki kama tembo mweupe ndani ya pori.Punguani Hilo linaropoka ooh Sgr na blaa blaa kibao,hivi huyo hajui kwamba Tazara ipo toka miaka ya 70 na ni reli nzuri na Bora Toka zamani?
Eti dry port ππ, Tunduma iliyoko border na Kahama wapi Kuna Drypoint Og bila hata serikali kuhangaika na kujenga?.
Huyo kiasi anatakiwa kuelewa kwamba Tunduma inazidiwa mapato na Majiji,na Manispaa za Dar tuu tena baadhi sio Kigamboni na Mkoa wa Songwe ni namba 6 Kwa Kodi Tanzania na 90% ya pesa zinatoka Tunduma harafu analeta blaa blaa za kijinga hapa.
Acha maneno leta data za mwak huu kama hiyo tunduma inafikisha ata 9 bilion kwa mwaka.Punguani Hilo linaropoka ooh Sgr na blaa blaa kibao,hivi huyo hajui kwamba Tazara ipo toka miaka ya 70 na ni reli nzuri na Bora Toka zamani?
Eti dry port ππ, Tunduma iliyoko border na Kahama wapi Kuna Drypoint Og bila hata serikali kuhangaika na kujenga?.
Huyo kiasi anatakiwa kuelewa kwamba Tunduma inazidiwa mapato na Majiji,na Manispaa za Dar tuu tena baadhi sio Kigamboni na Mkoa wa Songwe ni namba 6 Kwa Kodi Tanzania na 90% ya pesa zinatoka Tunduma harafu analeta blaa blaa za kijinga hapa.
Kahama huwezi kulinganisha na mji ambao ukikohoa kidogo kamji kote k iringa kanasikika poleni sana nyie mbayuwayu.Wewe acha kuaibishwa Iringa na Vimiji vya kipumbavu kama Kahama sijui takataka gani huko Usukumani hakuna Mji wakulinganisha na Iringa..
Vimji vyao size yake ni Njombe,Mafinga, Makambako labda na Songea.
Kahama ina mambo mengi ya kujifunza kwa mkwawa city kuanzia usafi mpangilio uzuri nk ukibisha nakwambia unipe picha ya CBDKahama huwezi kulinganisha na mji ambao ukikohoa kidogo kamji kote k iringa kanasikika poleni sana nyie mbayuwayu.