Kahama VS Njombe/Mafinga

Acha ujuaji hilo dude mipa hotel ipo kahama mjini, nenda kajifungue naona uchungu umekushika.
Baada ya kubanwa mbavu na mkoa wa njombe hadi unathubutu kusema gorofa hili lipo shinyanga wakati lipo mwanza Nyerere road yan ww bado sana
 
Hutu tu vitu ndio mmeanza kutuona mwaka huu naona vinawatia uwendawazimu poleni sana kwa kuchelewa.
Nyie mlianza kutuona lini? 🤪🤪 Rais wenu alishindwa hata kuwamalizia lile hofu lenu bila Samia mungekoma..

Tunduma hospital
 
Kanda ya ziwa Kila kitu kipo

Serengeti
Lake victory
Lubondo island national park
Sanane island reserve
Bismark rock
Minerals
International airport mwanza
Yet mnaongoza Kwa umaskini 😝😝

Shida hamna akili 🏃🏃
 
Toa hoja mm nimekup fact watalii wanakuja na ndo tumepiga JPM bridge, na SGR, maana Kuna hivyo nilitaja haya pimbi taka huko kwenu Kuna Nini Cha kumleta mzungu mbwa nyie
Tena hilo daraja litakuwa ni chanzo kingine cha utalii kanda ya ziwa, zile kanda za watu wenye chuki na kanda ya ziwa wajiandae kupata ugonjwa wa kideli.
 
Njombe ndio limkoa linaloongoza kwa watu wenye utapiamlo a viribatumbo na udumavu wa akili pamoj na mwili.
Kama wanautapiamlo wanakimbiza wangekuwa hawana ingekuaje? Kuwa na nywele nyingi sio kuwa na akili nyingi..

Kanda ya Ziwa inongoza Kwa Kansa,pale ocean Road mumejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…