Kahama VS Njombe/Mafinga

Okay but Ofisi ya RC wa Njombe ni wapi? Mbona jengo lake sijawahi lifahamu liliko?
Ndo Hilo HiYo picha ilipigwa Muda kidogo Lipo lunyanywi now lipo ukingoni wanapiga finishing ofisi zote za mkoa zimehamishiwa eneo hili na makazi ya watumishi wote kuna gorofa za kutosha
 

Attachments

  • FB_IMG_16784209492712181.jpg
    46 KB · Views: 7
Rador ya Songwe Airport Mbeya
Ubishi ambao Hauna maana kusini huwez linganisha na lake zone ata kidogo lake zone Iko juu hat ikiwa nchi inajitosheleza Kila kitu kipo na inasomga mbele na miji imeendelea sana pia at viongoz wanapendelea sana lake zone maazimisho na matamasha pamoja na ziara maana watu wengi pia wanakuwa na nguvu kuongea Kwa kuwa maendeleo yapo ila kusini aliyewakumbka alikuwa hayat MAGUFULI ndo kaikumbka sana kusini kaweka Barabara adi home Kwa hayat mkapa, pia kaweka hospitali mtwara kajenga lami.

Kumbka huku lake zone ukiongelea ruvuma ambayo ndo SONGEA na hiyo Lindi watu hawajui kama Kuna watu wanaishi huko maana hata haiongelew sana Kwa habari

Pia nakumbka kipindi flan walisema maendeleo yawe kikanda lakin ilipingwa na kusema Kuna ukanda watakufa njaa hasa mkoa wa ruvuma Hauna mapato Wala chochote Cha maana hivo inabebwa kishikaji na ndio maana Pako doro,,

Namaliza kusema mtaongea sana ila KAHAMA sio mchezo mm mwenyew nashangaaga huu mji ni balaa sana na ndo maana wasanii wakipiga festival lazima wafike KAHAMA Bora waache mikoani lakin KAHAMA. Lazima

Kuna majengo hatari,,supermarket,mahoteli ya maana ad mashirika makubwa yamewekeza hapo kama NSSF ambapo kusini hamna ad mbeya ndo wamejenga juzi TU NSSF,hii ni kuangalia wajenge Kuna Nini?

Kahama mitaa kama yote Ina lami japo sio ya kiwango sana baadhi ya mitaa lakin Ina lami,
Ina milk stand ya malori yote afrika mashariki

Cha mwisho Kaa ukijua KAHAMA ni mji wa biashara
 
Leta picha sie hatuko concerned na wakara wako wa wakorosai ,hii sio thread ya waumini ni thread ya kuona Kwa macho na takwimu 🤪🤪
 
Mbona mavumbi na madongo mekundu Kila Kona ...hizo nyumba za mababu zipo katikati ya mji
Na hayo madongo mekundu ni rafiki mzuri wa wale wadudu wanaopenda kukaa kwa vidole vya miguuni vya binadamu.Hawa na Kasulu Kigoma wanapaswa kuwa majirani
 
Bado nakuja haya njoon na nyie hizo picha zenu za shel za mafuta😂, na kampuni moja tu ya bus super feo halafu bado mnalinga kweli kusini bado mmelala sana au tatizo ufupi wenu nalo tatizo Hilo akili Iko karibu na matako mnashindanisha ukanda wa biashara na ukanda wa kilimo Cha ufuta,parachichi na kuvua kambale
Ebu njoon lake zone kama mtarudi hko kwenu huku ukanda imezungukwa na madini,DHAHABU,ALMAS, ziwa Victoria fahar ya Dunia nzima,ufugaji,miundo mbinu yote mukide mukide SGR KAHAMA ipo, mwanza,TABORA,shinyanga,haya daraja la JPM ziwa Victoria linaunganisha nchi za afrika mashariki zote pia kumbken kwetu Kila mkoa una stand za maana
 
Mnaongea kama mmekatwa vichwa. Shinyanga majengo yanayoendelea kujengwa ni ×2.6 ya majengo yanayojengwa njombe.

Acheni wehu bas. Shinyanga huko kwenu inabattle na mbeya
 
Shinyanga idad ya magorofa 358.
Njombe 322.

Acheni ujinga magorofa sio tija nyie wehu
.Kama gorofa ni kitu cha msingi pwani na morogoro yangekuwa majiji kabla ya mbeya.
 
Kuna kenge mmoja kasema et shinyanga nikuoneshe ghorofa lenye floor tano 😂 nimecheka sana kumbe mtu anadandia Uzi at kutembea hajatembea aya ngoja nimuoneshe Ili awalingishie kwao
 
SHINYANGA Ina battle na MBEYA tena hata mbeya Haina maghorofa Ina mapagale TU ya wanyakyusa na wasafwa Sasa kama kajiji kamezindua lift mwaka juzi Hilo Jiji au zizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…