Oh .kumbe umeongezea list...Kuna VIP ya Mwanza to Mbeyainaitwa isamilo
![]()
Njo na uthibitisho acha storyJiji linakua Kwa Kasi
Super Feo hajawah peleka g7 Mbeya zaidi ya Yutong na HigerHuko tunazo siku nyingi wewe mbumbumbu,saizi ni zamu ya kuwatoa ushamba nyie Wasukuma.
Kilimanjaro
Superfeo
Sauli,
Hizi ni Scania luxury ziko siku nyingi ,nyie wa michina saizi ndio tubawatoa tongotongo Sasa,
Kwa Phoenix na Travel Partner na Isamilo umetupiga.... Hawana VIP but the rest sawaMwanza ndio jiji lenye ruti ya VIP kwenda majiji yote isipokuwa mazizi ya Mbeya na Tanga
VIP dar
happy national,alys , phoenix,na travel partner, isamilo
VIP dodoma
satco
VIP Arusha
loliondo ,raqeebView attachment 2538453View attachment 2538455View attachment 2538456View attachment 2538458View attachment 2538464View attachment 2538466
Zile DKL yutong na DNZSuper feo/Selous za Mbeya to Mtwara unazijua? Unadhani ni sawa na hayo machina yenu ya kindezi?

zilizotumika Dar Songea kwanza?Eti Kilimanjaro haendi Kwa Sasa 😁😁Super Feo hajawah peleka g7 Mbeya zaidi ya Yutong na Higer
Kilimanjaro alikua anapeleka G6 Andare class na local made wala sio g7 na kwa sasa haendi tena.... Na Kilimanjaro g7 zinaenda Chuga tu
Sauli ni alikua anapeleka pia hio g7 DXE lakini haipo tena
Mwanza g7 zipo muda sana toka hata kabla ya Feo na Sauli kulikua na za Dar Lux DNU na DPK na DNQ series.....
Huwezi peleka Gari ikiyochoka kwenye route ndefu kama ya Mbeya-Masasi-Tunduru itataga.Zile DKL yutong na DNZzilizotumika Dar Songea kwanza?
Boss unarely video ya youtube?Eti Kilimanjaro haendi Kwa Sasa
Check hii video ya February uone kama Hakuna Kilimanjaro,mwishoni hapo imetangulia Hajjis .


Kilimanjaro hana ruti ya Dar Mbeya Wala Dar Tunduma Kwa Sasa Na Ni Almost Mwaka Sasa Toka Ameacha Kwenda Huko Na Alianza Kwa Kutoa Ruti Ya Mbeya Na Baada Ya Ile Ajali Ya Senjele Mwaka Jana Hajapeleka Gari Tena.... Kabaki na Arusha Dar na Moshi Dar Maana Hata Ya Dar Lunguza Alishaacha..... Unless unataka Kubishana 
Kwani hujui kwamba Disemba alileta tangazo kwamba anarudi? Hiyo video wewe unaona ni ya lini? Ulitaka iwevideo ya wapi?Boss unarely video ya youtube?Kilimanjaro hana ruti ya Dar Mbeya Wala Dar Tunduma Kwa Sasa Na Ni Almost Mwaka Sasa Toka Ameacha Kwenda Huko Na Alianza Kwa Kutoa Ruti Ya Mbeya Na Baada Ya Ile Ajali Ya Senjele Mwaka Jana Hajapeleka Gari Tena.... Kabaki na Arusha Dar na Moshi Dar Maana Hata Ya Dar Lunguza Alishaacha..... Unless unataka Kubishana
![]()
Songea Mbeya zinaenda hadi namba BUS, CWK, na vile vi Yutong f9 sawa ndo huwa atleast vinakuja vipya..... Ila kwingine hata Songea Dodoma zinaenda gari ambazo zikitumika Dar then zikaja mpya, zile za zamani ndo zinaenda huko.... Labda kwenye DWR kidogo ndo watu wa Dodoma na Mwanza na Moshi walibahatika of which zilikua pia zishaanza kazi Dar SongeaHuwezi peleka Gari ikiyochoka kwenye route ndefu kama ya Mbeya-Masasi-Tunduru itataga.
Hizo unazozisema wewe xinaishia tunduru na Mbinga na zile za MbambaBay to Kyela..
Mwisho hata Songea-Mbeya ni Bus Mpya tupu..
Alileta tangazo anarudi sikataj.... Haya ni lini alirudi? Au alienda japo kwa bahati mbayaKwani hujui kwamba Disemba alileta tangazo kwamba anarudi? Hiyo video wewe unaona ni ya lini? Ulitaka iwevideo ya wapi?


Leta G7 ZA MBEYA






Kwenye hizo attachments zake.... Hio 171 DZU inaenda Tunduma sio Mbeya, hio super feo na selous hazijawah kanyaga Mbeya, Master Lax hio gari inatembea kwa mwezi sijui mara ngapi na pole kwao gari imepata ajali Jana mikumi, hio Kyela express si local made ina uzuri gani compared hata na Africa RahaLeta G7 ZA MBEYA
UMEPIGWA ,banzi na nkazinga ...umebaki kutapa tapa![]()
