Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huu mji Ni disgusting..yaani mnatia huruma Hadi machozi ....mji ni tughorofa tutatu tu Kila Mara unatupost . barabara chafu ,,nyumba matope Kila mahala
Mnazidiwa Hadi na Moro Town View attachment 2537202View attachment 2537203
Morogoro labda ushindanishe na Tabora,kuishindanisha na Mbeya unaionea ndio maana Uzi kule haujatembea watu wamesema hakuna pesa huko Moro..

Wewe mwenyewe unaona Kuna nini Cha maana hapo?
Ingawa Kwa mipango Miji Moro ni nzuri kuliko mauswazi ya Mwanza 😜🤪
 
Morogoro labda ushindanishe na Tabora,kuishindanisha na Mbeya unaionea ndio maana Uzi kule haujatembea watu wamesema hakuna pesa huko Moro..

Wewe mwenyewe unaona Kuna nini Cha maana hapo?
Ingawa Kwa mipango Miji Moro ni nzuri kuliko mauswazi ya Mwanza
Acha kuhamisha magoli ....nyie morogoro hamuiwezi hata Kwa nn
 
Acha kuhamisha magoli ....nyie morogoro hamuiwezi hata Kwa nn
Morogoro ifananishe na Tabora,ila Kwa planning imezidi mauswazi Yale ya Mwanza..

Mbeya old cbd
20221125_083948.jpg
 
Mwanza haiwezi kuwa na Barabara nzuri na greenish kama inayoonekana hapa kwenye video ya Mbeya 👇
 
Back
Top Bottom