Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

W,,
 
Attachments

  • IMG_20230301_144224_2.jpg
    IMG_20230301_144224_2.jpg
    426.8 KB · Views: 11
  • IMG_20230301_110529_1.jpg
    IMG_20230301_110529_1.jpg
    298.1 KB · Views: 12
  • IMG_20230301_110446_6.jpg
    IMG_20230301_110446_6.jpg
    454.6 KB · Views: 10
  • IMG_20230301_110458_3.jpg
    IMG_20230301_110458_3.jpg
    318.8 KB · Views: 10
  • IMG_20230301_144151_9.jpg
    IMG_20230301_144151_9.jpg
    449.1 KB · Views: 11
Mkinga anapeleka G7 mwanza [emoji28][emoji28]...Hana muda wa kupeleka kwenye jiji chafu la vibanda kama mbeya [emoji28][emoji28][emoji12][emoji116]

Huko tunazo siku nyingi wewe mbumbumbu,saizi ni zamu ya kuwatoa ushamba nyie Wasukuma.

Kilimanjaro
Superfeo
Sauli,

Hizi ni Scania luxury ziko siku nyingi ,nyie wa michina saizi ndio tubawatoa tongotongo Sasa,
 
Mwanza ndio jiji lenye ruti ya VIP kwenda majiji yote isipokuwa mazizi ya Mbeya na Tanga [emoji12][emoji12][emoji28][emoji28][emoji28]
VIP dar
happy national,alys , phoenix,na travel partner, isamilo
VIP dodoma
satco
VIP Arusha
loliondo ,raqeeb [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2538453
20230221_212458.jpg
20230218_111029.jpg
20230207_234705.jpg
20230210_122247.jpg
20230220_220404.jpg
 
Huko tunazo siku nyingi wewe mbumbumbu,saizi ni zamu ya kuwatoa ushamba nyie Wasukuma.

Kilimanjaro
Superfeo
Sauli,

Hizi ni Scania luxury ziko siku nyingi ,nyie wa michina saizi ndio tubawatoa tongotongo Sasa,
Picha ziko wapi ,,,ruti ya super feo G7 inayoenda mbeya [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwanza ndio jiji lenye ruti ya VIP kwenda majiji yote isipokuwa mazizi ya Mbeya na Tanga [emoji12][emoji12][emoji28][emoji28][emoji28]
VIP dar
happy national,alys , phoenix,na travel partner, isamilo
VIP dodoma
satco
VIP Arusha
loliondo ,raqeeb [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2538453View attachment 2538455View attachment 2538456View attachment 2538458View attachment 2538464View attachment 2538466
Wewe ushamba,wenge na ulimbukeni ndio unakusumbua.

Isamilo ni nini? Sio VIP? Mbeya sio sawa na huko Kwa qanauka ushuzi wa ng'ombe ,usipoleta VIP class pande hii inakukata,kwanza Barabara zinaruhusu na ustaarabu wa watu unaruhusu,huku hatuingii kwenye bus na mbuzi .
 
Oh .kumbe umeongezea list...Kuna VIP ya Mwanza to Mbeya [emoji75][emoji106]inaitwa isamilo [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom