Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Naona mitaa kama Tandika na buguruni malapa[emoji28]

Kweli ni slum city
Weka picha tuone tandika na Buguruni ilivyo 😆😆.

Eti Bukoba Kuna Barabara na Sumbawanga watasemaje?
20230213_211858.jpg
20230213_211746.jpg
20230213_211852.jpg
20230213_211721.jpg
 
Huu mji Ni disgusting..yaani mnatia huruma Hadi machozi ....mji ni tughorofa tutatu tu Kila Mara unatupost . barabara chafu ,,nyumba matope Kila mahala
Mnazidiwa Hadi na Moro Town [emoji28][emoji28][emoji12][emoji12]
JamiiForums168108175.jpg
JamiiForums261767175.jpg
 
Back
Top Bottom