Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Bukoba washatoka huko kwenye ofisi za umma...siku hizi wanajenga vitega uchumi kama malls, conference centre, hotels, AirBNB NK..
Ahsante serikali kuutaja mkoa wa kagera kama maskini...watu wameamuka sana siku hiz...

Sasa ofisi zinawasaidia ni wananchi wa sumbawanga
Wewe Mzee acha excuse hakuna Ofisi ya DPP Mkoa mzima 😆😆
 
Foleni Iko wapi? Ukitaka nipige picha kwenye foleni ya magari?

Harafu usiwe mbumbumbu, traffic lights huwekwa sehemu ambazo ni hatarishi Kwa Watumiaji wa Barabara.

Mwisho Sumbawanga Ina Barabara nyingi Wala haitegemei Barabara Moja kama huko kwenu kiasi kwamba ukute msululu mreeefu wa magari,walau utaona asubuhi na jioni.
Eti sumbawanga ina barabara nyingi...wakati unapost kila siku mavumbi na matope hapa...

Bila kusahau airport iliyopandwa maharage
 
Eti sumbawanga ina barabara nyingi...wakati unapost kila siku mavumbi na matope hapa...

Bila kusahau airport iliyopandwa maharage
Nionyeshe hayo mavumbi na Matope kama ya Bukoba badala ya kuvuka mate bila ushahidi 🤪🤪

Wewe mwenyewe unajua Sumbawanga Ina Barabara Kali Kanda ya Ziwa hakuana..

Nyingine hizi hapa 👇
Screenshot_20230302-175122.jpg
 
Kuna jengo hapo limekosa wateja...

Miji ya kusini ni ya ovyo tu kuanzia njombe, vvawa, Tunduma, mbeya sijui songea nk..
Yote miundombinu mibovu...
Huko huwa tunaomba kuchukua mashamba na kulima sio pa kuishi.
 
Imagine hio Bukoba ya 1980 ni bora kuliko CBD ya Mbeya 2023
Bukoba labda uilinganishe na Uyole .

Mbeya hii hata Mwanza ikasome👇


Mbeya gani unayoisemea? Ni hii hapa au Kuna nyingine?
 
Back
Top Bottom