Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

We Jamaa bwana Katibu Kansa ya Ubongo mapema.

Sasa kwani wewe huoni Nguzo ziko pembezoni mwa Barabara kuu? Ulitaka uone nini?
Eti nguzo za zege . ,huku zimewekwa vijijini huko kagongwa na mwendakulima ,,,,,.kumbe nyie ndio zinawatoa ushamba
 
Haya Sasa ombi la wabunge wa mkoa wa njombe kwa mama juu ya chuo kikuu limekubalika tayar wanaanza ujenzi wa chuo kikuu makambako tc wamechukua eneo lenye ukubwa wa ekari 100 kazi inaendelea tutaelewana tu
3-0.jpg
 
Kuongoza magari mawili....

Sasa hapo magari yako wap?


Nenda Bukoba au kahama kulivyo na foleni ya magari na bodaboda kwenye taa za kuongoza magari...

Taa hata chato zipo
Foleni Iko wapi? Ukitaka nipige picha kwenye foleni ya magari?

Harafu usiwe mbumbumbu, traffic lights huwekwa sehemu ambazo ni hatarishi Kwa Watumiaji wa Barabara.

Mwisho Sumbawanga Ina Barabara nyingi Wala haitegemei Barabara Moja kama huko kwenu kiasi kwamba ukute msululu mreeefu wa magari,walau utaona asubuhi na jioni.
 
Hilo soko ndo linawaokoa...kwingine ni uchafuzi wa mazingira...

Halafu unasikia serikali wanasema wana maisha bora...maisha bora gan ya kuishi kwenye magofu...
Hilo soko hamna kitu ni hasara tu labda kama limesaidia kupendezesha li kijiji lao la njombe
 
Hilo soko ndo linawaokoa...kwingine ni uchafuzi wa mazingira...

Halafu unasikia serikali wanasema wana maisha bora...maisha bora gan ya kuishi kwenye magofu...
Kahama na Bukoba hawawezi fikia Njombe
28468610386_63e10633c4_b.jpg
298609312.jpg
maxresdefault(11).jpg
 
Back
Top Bottom