Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Attachments

  • Screenshot_20230213-113458_Gallery.jpg
    Screenshot_20230213-113458_Gallery.jpg
    256.8 KB · Views: 13
  • Screenshot_20230213-113444_Gallery.jpg
    Screenshot_20230213-113444_Gallery.jpg
    203.9 KB · Views: 17
  • 20230213_113550.jpg
    20230213_113550.jpg
    191.3 KB · Views: 16
Acha ulofa, kwani nini maana ya dual carriage. Ushamba wako ndio unakusumbua
Mwanza hakuna Barabara Kali ya njia 4 wewe acha upuuzi wako..

Njia 4 ziko Dar,Dom,Arusha, Sumbawanga,Singida huko kwingine ni vituko..

Ooh sisi tuna meli,haya Sasa chelezo kubwa kuliko zote kujengwa Lake Tanganyika na meli 3 Juu.

We hujawahi kuwa na logic hata siku moja .......singida na sumbawanga Kuna njia nne af mwanza hamna aisee ...
Ni kweli kabisa...
 
Mwanza hakuna Barabara Kali ya njia 4 wewe acha upuuzi wako..

Njia 4 ziko Dar,Dom,Arusha, Sumbawanga,Singida huko kwingine ni vituko..

Ooh sisi tuna meli,haya Sasa chelezo kubwa kuliko zote kujengwa Lake Tanganyika na meli 3 Juu.

Haahaaahaaaaa nacheka kwa dharau, Kwa hiyo unataka kusema Mwanza kuna njia ngapi? Tembea uone sio unakaa tu Mbeya unasikiliza mambo ya kijiweni.
 
Halafu hujasikia kuwa baada ya meli hii kukamilika itajengwa nyingine ya mizigo ya kubeba tani 3500
 
Mwanza hakuna Barabara Kali ya njia 4 wewe acha upuuzi wako..

Njia 4 ziko Dar,Dom,Arusha, Sumbawanga,Singida huko kwingine ni vituko..

Ooh sisi tuna meli,haya Sasa chelezo kubwa kuliko zote kujengwa Lake Tanganyika na meli 3 Juu.

Nimetafuta sehem wameandika meli tatu juu na cherezo kubwa east Africa sijaipata.

Nisaidie kuscreenshot hio mahali nione
 
Mwanza hakuna Barabara Kali ya njia 4 wewe acha upuuzi wako..

Njia 4 ziko Dar,Dom,Arusha, Sumbawanga,Singida huko kwingine ni vituko..

Ooh sisi tuna meli,haya Sasa chelezo kubwa kuliko zote kujengwa Lake Tanganyika na meli 3 Juu.

Mara Moja Moja uwe unapunguza UPUMBAVU wako hivi wewe ni eukaryotic au prokaryotic mbona Kuna vitu vingine hata mwanafunzi kinda anavijua we fala unakwama wapi?
 
Southern Highlands na Western zone ni sehemu moja sasa , wakati tokea miaka hiyo Kigoma inatambulika kama Lake Zone. Bumunda wewe

Kwa taarifa zaidi google Lake Zone District wards kama utakosa Kigoma
 
Umeanza kuomba kampani Western zone si ndio nimecheka .

Lake Tanganyika linaanza Burundi Hadi Rukwa to Zambia
 
Mara Moja Moja uwe unapunguza UPUMBAVU wako hivi wewe ni eukaryotic au prokaryotic mbona Kuna vitu vingine hata mwanafunzi kinda anavijua we fala unakwama wapi?
Nionyeshe Dual carriage road Kali Mwanza badala ya hayo makasiriko Yako yasiyojibu hoja
 
Back
Top Bottom