Na vijua Sana Kwan mji si unaanzia kwenye tarafa ndo maandaliz hayo mzee hawaja weka zone hizo kiboya ujue tayari vichwa vimesha umiza kuwa lazima makao makuu yaje kuwa na manispaa kadhaa mbeleni saiz mikoa inayo jielwa inafanya hivyo na hii inachochea Sana maendeleoHuo si mgawanyo wa tarafa za wilaya ya dodoma [emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji12]..HIV unajua vigezo vya manispaa wew au unaongea tu
Hata njombe hizo halmashauri nne zilikuwa tarafa now ni halmashauri ko ni mipango mwaka 2011 bado zilikuwa tarafa baada ya kugawa mkoa tayari wilaya ya njombe ikatoa halmashauri nne ambayo km za mraba inalingana na mufindi dc na hapo tunaongelea iliyokuwa wilaya ya njombe nje ya wilaya ya makete na ludewA zinazounda mkoa wa njombeHuo si mgawanyo wa tarafa za wilaya ya dodoma [emoji16][emoji16][emoji12][emoji12][emoji12]..HIV unajua vigezo vya manispaa wew au unaongea tu
Aliyemwelewa huyu kijana anisaidieHata njombe hizo halmashauri nne zilikuwa tarafa now ni halmashauri ko ni mipango mwaka 2011 bado zilikuwa tarafa baada ya kugawa mkoa tayari wilaya ya njombe ikatoa halmashauri nne ambayo km za mraba inalingana na mufindi dc na hapo tunaongelea iliyokuwa wilaya ya njombe nje ya wilaya ya makete na ludewA zinazounda mkoa wa njombe View attachment 2509924View attachment 2509925View attachment 2509926View attachment 2509927
Kuna ulichojifunza hapa?
1.Mwamko wa elimu kanda ya ziwa hasa mwanza na kagera ni mkubwaKuna ulichojifunza hapa?
Kwa lugha nyingine "wanga" ni wengi. Hasa pale kibena na wanging'ombe
hana la kusema huyo shitombole kwa hyo KO
Kwa hiyo Kwa Sasa Kanda ya Ziwa yote mnashindana na Njombe si ndio?This is shycity huwez pata sehem kama hii huko kwenu njombeView attachment 2511347
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maskini akipataNaiona mwanza inaelekea kuwa Massachusetts ya Tanzania miaka ijayo.. uwekezaji katika taasisi za elimu na teknolojia unazidi kuongezeka Kila siku View attachment 2510241
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] maskini akipata