Kahama VS Njombe/Mafinga

Parachichi Vs Dhahabu, tukiwaambia barabara za Njombe zinatengenezwa kwa dhahabu ya Kahama mnasonya, sasa kataeni na hizi data hapa.


Bado Samaki na mazao yake imemeza mbao na chai zote za Njombe, Tanzanite na yenyewe inapumulia mashine hukoo 😛 😛 😛 😛

Tukiwaambia uchumi wa nchi ni dhahabu muwe mnaelewa....
 
Bahati nzuri Mgodi wa pili Kwa ukibwa wa dhahabu uko Chunya Mbeya,Chunya ni namba 2 baada ya Kahama..

On top of that Kuna makaa ya mawe,kokoa,mbao,bidhaa za matunda,nafaka bila kusahau Madini mengine, vyote hivyo ni chata Nyanda za Juu Kusini.

2023
 
Mgodi wa pili, huoni hata aibu, kawadanganye Wagagaigikoko wenzako.

Na bado inakuja Nyanzaga ndio utakuwa mgodi mkubwa kuliko yote Tanzania hii 23.4 km square.....tunaawaambia tena Souther Highland mnapata barabara kwa ufadhili wa dhahabu za LZ
 
Ningeshangaa coz kuna takwimu nilisoma GGM ni ya Pili Africa baada ya kampuni iliyopo Jberg
 
Kahama Kwa Sasa hakuna Mgodi unaofanya kazi so Mgodi wa pili baada ya GGM ni WA Chunya.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…