The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Hahaha kwa lipi tembelea rosper schools kama huta sema kwenu huko chuo kikuu

Coal ipo fire watu wamemwaga gari kama zote ndani ya dk 5 lazima ukutane na gari ya makaa ya mawe
View attachment 2506370
View attachment 2506371
View attachment 2506372




...wazee wa ligi za mabus ..


Coal ipo fire watu wamemwaga gari kama zote ndani ya dk 5 lazima ukutane na gari ya makaa ya mawe
View attachment 2506370
View attachment 2506371
View attachment 2506372
Coal ndio inaongoza Kwa pesa,hakuna Cha dhahabu Wala takataka zingine 🔥🔥View attachment 2506336View attachment 2506337View attachment 2506339
Hii sekta msiiguse tuacheni tutambe nayo
Dwarf buildings,Kwa Sasa Ligi iwe Kahama vs Makamba naona Njombe na Mafinga ni kama inawaonea..
Kwa Sasa nimeona Kampuni zimeongezeka Kipande hiyo ila ulikuwa una tu fix kumbe Happy Nation haikuwepo hukoMpaka sasa mwanza inazidi kuvutia makampuni mengi Kwa huduma ya usafirishaji abiria ....Kuna makampuni zaidi ya kumi na 17 yanafanya ruti za Kila siku dar to mwanza ...hii Ina maanisha mwanza ni mji wa kwanza unaofanya biashara na jiji la dar pia Ni mji unaotembelewa na watu wengi kwa ajili ya biashara na shughuli nyingine ..
Kampuni Mpya mwezi huu
Katarama luxury
New best line
View attachment 2506448View attachment 2506449View attachment 2506450View attachment 2506452
Ila Kahama Kwa Njombe inakalishwa..
Dwarf buildings,Kwa Sasa Ligi iwe Kahama vs Makamba naona Njombe na Mafinga ni kama inawaonea..
Nimepita wiki Jana Mafinga Iko fire 🔥🔥 hatari sana.
Sawa sio ndefu ila ziko nyingi na nyingine kibao ziko underconstruction plus Mji unakua sana na Kuna investments Mpya Kila siku,Vituo vya mafuta ndio usiseme.Mafinga gorofa zao nyingi ni fupi zipo kama hivo ndefu iliyo kamilika ni cf plaza na mbili za gorofa tatu zinaendelea kujengwa ko gorofa ndefu mafinga zipo tatu tu zingine ni gorofa mbili tu njombe ndefu ndo zipo
View attachment 2506761View attachment 2506762View attachment 2506764