Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Hakuna mtu wa kanda ya ziwa alishaanzisha battle za namna hii,Hivi watu wa nyanda za juu kusini na kanda ya ziwa mi lini mtaacha ushamba? Lini mtastaarabika? Mara mshabikie mabasi sauli, Golden Deer sijui NewFocrcw, sijui Ally's Stars. Mnashbikia na kubet kwasababu ya mali za wanaume wenzenu. Mara ligi katika miji, mbona wenzenu wa kaskazini huwezi kuwapata ktkt huu ushamba wenu? Ni kwamba hayo mambo ndiyo mmeyajua siku za hivi karibuni? Kweli umaskini unawasumbua na udumavu wa akili. Njombe na Mafinga nayo ni miji ya kuja kuiandika huku JF? Ni kwamba hamjatembea kabisa. Mafinga ule ni mji mi mbona naona sqwatas tu, hata Njome mji uko wapi, mkiona jengo moja tu mnakuja kulirusha. Acheni ushamba ficheni huu ujinga wenu. Ondoeni hii thread imekuwa kichefuchefu maana ni muda mrefu mnairudisha kila mara, ficheni hii aibu.
uli
Ila kuna haters wa kanda ya ziwa, everything is against kanda ya ziwa