Wewe una busha la uti wa mgongoDogo huna mtiririko mzuri wa maongezi Yako,utakuwa una tezi dume kwenye ubongo ππ
Huyu ni fala mmoja haelewi hata akieleweshwa. Kule sumbawanga wasukuma wapo kibao wanafuga ng'ombe wao, mbalali, kyela ndo usisemeKwani hujui wafugaji wa kanda ya ziwa wametapakaa nchi nzima
Sawa kubwa jinga Mr. KibogaDogo huna mtiririko mzuri wa maongezi Yako,utakuwa una tezi dume kwenye ubongo ππ
Afu ndo kiswahili we bwege
Kwenye per Capita income imetuzid sh ngapiKwa Arusha mtaongea nini? Per Capita income imewazidi,pesa za TRA imewazidi,magorofa imewazidi, majengo marefu, Mahoteli nk imewawapiga chini Sasa nyie mnaizidi nini Arusha?
Hushangai kiwanda cha cement kuwa Mbeya, halafu Mbeya yenyewe imejaa nyumba za udongo
Leta kiwanda cha huko matakoni mwa Tanzania kikubwa zaidi ya hiki
Kusanya Mbeya+Njombe+Songwe+Ruvuma hutokaa uifikie Mwa
We unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income countryLeta kiwanda cha huko matakoni mwa Tanzania kikubwa zaidi ya hiki
Leta figure ili tuamini huu umbeya wakoWe unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income country
Picha ya zamani
We unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na
Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income country
Chukua hizi data acha kuropoka kama kubwa jingaWe unashangaza matakoni nyanda za Juu kusini tunapakana na nchi kadha wa kadha,Ndio njia inayoingiza pesa nyingi za kigeni,ndio njia ambayo Mzigo karibu 80% kutoka bandarini unapita,almost mikoa yote ipo kipato kwenye kipato Cha Juu.Kanda ya ziwa inapakana na Rwanda,Burundi,Uganda.Kuweni na adabu kama sio uwingi usio na tija wa Kanda ya ziwa nchi ingekuwa upper middle income country
Unatia aibu stori za 2015 ndio unaleta saizi?Chukua hizi data acha kuropoka kama kubwa jinga
View attachment 2493403
Kufikia maendeleo ya maparachichi.Kufikia kwenye lipi maendeleo ya mkoa,watu au majengo?
Uzezeta sitaki kula kitu laini πππUnatia aibu stori za 2015 ndio unaleta saizi?
Saizi tuko 2022 soma column ya mwisho mkono wa kulia πView attachment 2493410
Column ya mwisho kulia Kuna nn ..hizo si ni rank za per Capita incomeUnatia aibu stori za 2015 ndio unaleta saizi?
Saizi tuko 2022 soma column ya mwisho mkono wa kuliaView attachment 2493410
Leta kiwanda cha huko matakoni mwa Tanzania kikubwa zaidi ya hiki
Sasa hiki kiwanda cha dawa, tuviwanda kama utu twa dawa tupo kama vitatu kwenye kata moja ya buhongwa ikiongozwa na prince pharmaceutical company.