Kahama VS Njombe/Mafinga

Una maneno ya kukera na kuudhi sana bwege sana wewe mmmkπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani Mwanza hii izidiwe na miji yakipagazi inayoishi zama za ujima.
Kwa Arusha mtaongea nini? Per Capita income imewazidi,pesa za TRA imewazidi,magorofa imewazidi, majengo marefu, Mahoteli nk imewawapiga chini Sasa nyie mnaizidi nini Arusha?
 
Excuses as usual,hiyo bei nafuu Kwa nini ipelekwe huko kwenu tuu kama sio njaa?
Acha kukalili mla maparachich wew
shida ya kula mapalachichi yasiokomaa ndo hii.

Juzi bashe kasema serikali itatoa chakula ili kupunguza bei ya chakula sokon ,kwa akili zako zilizopo karibu na mkundustan unajua chakula hutolewa kama msaada pekee.
 
Unadhani wanatoa wapi Sasa? Kinaletwa huko kwenu kwenye njaa Kali sio kwetu sie ndio wazalishaji..

Yule bwege mwenzio si alikuwa anakuja na takwimu mwambie vipi tena mnapokea Msaada wa njaa? 🀣🀣🀣🀣.

Mbunge wenu anashukuru kweli kweli πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…