Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwamba tunduma imekusanya bilion 13
Usiwe unkurupuka soma kwanza ndio uelewe..
Mwaka huu wa 2022/23 itavuka bil.13 maana Kwa miezi 3 ya kwanza walikusanya bil.3.7 sawa na wastani wa bil.1 Kwa mwezi na Hadi wanapotisha hiyo Bajeti manake ndio mapato watakusanya na wamesema hapo ni ongezeko la 60%.

So itakusnaya zaidi ya hizo by June 30 ,ni vile tuu Waziri wenu wa Sasa wa Tamisemi ni mpuuzi amebadili utaratibu wa Bashungwa kusoma mapato ya Kila kota.

Hata hivyo mwezi ujao Bajeti zinaanza so tutajua actual via Bajeti ya Tamisemi..

Mbeya Kwa mwaka huu hamtukiti,Chunya wameripoti nusu Mwaka Makusanyo ya Bil.4 kiasi kwamba Hadi June 2023 watavuka Bil.7 kutoka 5 ya mwaka uliopita.
 
We endelea kutembea na assumption sasa ...
siku ukipata actual data tuletee. hizo kelele za madiwani wako peleka kwenye mikutano yenu ya ccm .sio hapa
 
Mara ngapi nimekuwekea mapato ya Tunduma humu? Au unadhani tunaota? Soma hapa wewe hater wa Nyanda za Juu👇
Screenshot_20221103-190201.png

Kwanza Tunduma wame underestimate Makusanyo ya 13.7bln Kwa mwaka Kwa sababu ukichukua hiyo average ya 3.7 *4=14.8,Kwa nini Serikali ikubali uzembe maana lazima watavuka estimates waje kujisifu Kwa ufanisi wakati wame underestimate Makusanyo.
 
Acha dharau wewe, yaani Lindi mji umechoka vile halafu unafananisha na Mbeya
Wewe ndio uchapwe viboko
Kweny kiswahili tunaita "KUDOGOSHA" .Mbeya ni lindi ilochangamka.

Ila watu Wakanda ya ziwa wanaimpact sana, uwez amin species za kisukuma zilivyoamia kule ndo pakachangamka .

Mhe Tulia uref katoa wap wakat asili ya watu wa mbeya ni vijeba, ukichekecha akili unagundua ni mwanakanda ya ziwa kiasili

Southern highlands hawewez kutoa speakers mweny asili ya huko ata kwa 50% siunaona akili za The Sunk Cost Fallacy 2 .
 
Aliyemuelewa huyu kima wa saa nane anitag..

Ingekuwa urefu ni akili huko kwenu Mungemchagua Mpina,Musukuma au Mashimba Ndaki kuwa Rais badala ya Mwendazake mnaemuona Mungu wenu.

Mbeya 👇
 
Focus ya serikali ni Mkoa Kwa Mkoa ,hizo za Wilayani zisubirie kwanza..

Ndio maana nimekuwa nasema ni upuuzi kuweka Nguvu kubwa kwenye reli ambayo ni useless na kuacha Barabara ambazo ndio zinasaidia ukuaji wa uchumi wa mtu mmja mmja directly.
Mkuu Njombe mkete Kuna Lami,Njombe-Ludewa inaendelea kujengwa Zege Sasa ni kipande Njombe-Lusitu,Njombe-wanging'ombe baadhi ya maeneo yake yananufaika na Njombe -Makete na Tazam highway.Hivyo yapo maeneo kutokana na umuhimu wake yanapewa lami kuunganisha mkoa na wilaya.
 
Ni kweli ila hizo Barabara Zina umuhimu wa kipekee na ziko kimkakati zaidi.
 
Back
Top Bottom