shabanmbarak
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 1,178
- 1,151
Kwaio mwanang umejiaminia kabisa ukaona ulete izo picha [emoji23][emoji23][emoji23].
Kumbe mbeya pahovyo hivo [emoji41] kama lindi tu.
Mim nngekua mtu wa mbeya ningekutafuta nkakuchapa viboko. Jaribu kuedit ujue mbeya baada ya mwanza ndo inafatia kwa GDP