Ndani ya miaka miwili au mitatu nitakutafuta, ngoja sgr, ngoja daraja la kigongo busisi, ngoja bandari kubwa pale fela na subiri mega mall complex na chuo kikuu cha TIA, na vyuo vingine shirikishi wamalizie ujenzi, ndo utakuja kuongea utumbo wako humu.Takataka,mtasubiria sana maana hata hata Moshi inasubiria kuitwa Jiji
Soko kuu ni 21bMiradi mikubwa hupelekwa kwenye mikoa mikubwa ..
Kazi inaendelea kwenye hii miradi
JPM bridge -=700 bilion value
,mv mwanza =bilion 80 value
Mradi wa maji =bilion 300
Stendi ya nyegezi =bilioni 16
Jengo la abiria terminal 1 =bilion 12
Soko kuu =bilion 15
JUMLA = trilion 1.13
Wakati miradi yote nyanda za juu haifikii hata milion 500
Na hapa nimezungumzia mkoa mmoja ..
Nyie endeleeni kushangilia barabara ya kasumuluView attachment 2482601View attachment 2482603View attachment 2482605View attachment 2482614View attachment 2482617View attachment 2482619View attachment 2482621
Unavyovitaja viko Misungwi? Au umechanganyikiwa?Ndani ya miaka miwili au mitatu nitakutafuta, ngoja sgr, ngoja daraja la kigongo busisi, ngoja bandari kubwa pale fela na subiri mega mall complex na chuo kikuu cha TIA, na vyuo vingine shirikishi wamalizie ujenzi, ndo utakuja kuongea utumbo wako humu.
Usagara na fella na kigongo ipo tunduma nilikuwa sijui.Unavyovitaja viko Misungwi? Au umechanganyikiwa?
Misungwi tunayoijua ni hii iliko Halmashauri sio huko Usagara
Hayo maeneo yote yapo pembezoni mwa Jiji la Mwanza yatasaidia vipi Misungwi kuwa Manispaa?Usagara na fella na kigongo ipo tunduma nilikuwa sijui.
Saizi huwezi kuwasikia wakiongea ule ujinga wao wa kusema Kusini kumetengwa maana wanaona aibu 😁😁😁😁
Acha porojo😂😂😂😂Saizi huwezi kuwasikia wakiongea ule ujinga wao wa kusema Kusini kumetengwa maana wanaona aibu 😁😁😁😁
Naona majaliwa anakubalika sana.Porojo au siyo? 👇
Hakuna Kiongozi wa Kitaifa ataenda sehemu akakosa watu labda Dar na Arusha ndio Huwa hawashoboki sana.Naona majaliwa anakubalika sana.
Hawashoboki kwasababu wanaletewa miradi muda wote ni bandika bandua, acha sisi wananchi wa njombe tushoboke adi tuwalambe na miguu.Hakuna Kiongozi wa Kitaifa ataenda sehemu akakosa watu labda Dar na Arusha ndio Huwa hawashoboki sana.
We chawa wa mama ...Leo unakataa Usagara sio misungwiHayo maeneo yote yapo pembezoni mwa Jiji la Mwanza yatasaidia vipi Misungwi kuwa Manispaa?
Hichi Kijiji Cha huko Ng'oombe kitabakia hivyo hivyo.
Huwa unakurupuka sana wewe MNEC feki,nani amesema hayako Misungwi?We chawa wa mama ...Leo unakataa Usagara sio misungwi..ila siku nikiiweka mwanza unalalamika unasema ni misungwi..chawa mama mna shida sana
Kwa taarifa yako kutoka mwanza Hadi usagara ni km 25 ,kutoka misungwi Hadi usagara ni km 20 ....Huwa unakurupuka sana wewe MNEC feki,nani amesema hayako Misungwi?
Nimesema Yako pembezoni mwa Jiji la Mwanza Sasa yatasaidia vipi Misungwi ya kule Misasa kuwa Manispaa?
Hata mapato kifuchu wanayopata Misungwi yanatoka huko huko ila kule kwao kwenye Halmashauri ni maporini tuu hamna kitu.
Mapori tena hiyo misungwi ni ya henzi za nyerere, karibu misungwi karibu copenhagen.Huwa unakurupuka sana wewe MNEC feki,nani amesema hayako Misungwi?
Nimesema Yako pembezoni mwa Jiji la Mwanza Sasa yatasaidia vipi Misungwi ya kule Misasa kuwa Manispaa?
Hata mapato kifuchu wanayopata Misungwi yanatoka huko huko ila kule kwao kwenye Halmashauri ni maporini tuu hamna kitu.
Hiyo Kigoma na Mtwara imefanyaje?Kwa taarifa yako kutoka mwanza Hadi usagara ni km 25 ,kutoka misungwi Hadi usagara ni km 20 ....
Utolewaji wa Manispaa kaangalie miji ya kigoma na ujiji.au mtwara na mikindan
Ndo wamekuja Kwa Manyumbu sasaChedema haikubaliki kanda ya ziwa labda huko mbeya, arusha na Kilimanjaro
Kigoma na mtwara zilipewa manispaa Kwa kujumlishwa miji miwili tofauti...kigoma ilijumlishwa na ujiji . mtwara ilijumlishwa na mikindani ...hata misungwi itajumlishwa na Usagara i itakuwa manisapaHiyo Kigoma na Mtwara imefanyaje?
Kwa hiyo hayo maeneo yapo zaidi ya km 20 apart kama ilivyo Kwa hicho Kijiji Cha Misungwi?Kigoma na mtwara zilipewa manispaa Kwa kujumlishwa miji miwili tofauti...kigoma ilijumlishwa na ujiji . mtwara ilijumlishwa na mikindani ...hata misungwi itajumlishwa na Usagara i itakuwa manisapa