The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Mlitoka lini wewe pimbi Kila siku unalia lia humu na kuomba lami? Ziko wapi?Unaongelea vibarabara vya lami wakati wenzio walishatoka huko, sasa tunawazia megaproject tu, hivyo vimradi vya barabara huwa tunajenga wenyewe kwa mapato yetuππππππππ
Eti Miradi ilikwama mama kaikwamua ,,,rais kaingia madarakani tayari wakandarasi wako site na budget ishatengwa ...Cha maana labda useme SGR ya tabora isaka ndio Samia kasainisha mkandarasi mwenyewAmeikuta wapi? Inatakiwa kukamilika Kwa miaka mingapi? Mabula akihojiwa na Nyanda alisema miradi ilikwama kuanzia ya maji Hadi stand ni Rais Samia kaikwamua
Last time.umefika Lin misungwi wew ....au unaisikia tu ,,, unadhani hyo ni rungwe ya walima ndiziMlitoka lini wewe pimbi Kila siku unalia lia humu na kuomba lami? Ziko wapi?
Mngekuwa na lami huko Wilayani tusingekunywa maji.
Niulize hivi pale Misungwi Kuna lami hata ya km 2 mjini maana last time kulikuwa mavumbi tupu.
Endelea kuugulia maumivu
Mwezi wa pili inashushwa kwenye maji .. mwezi wa Saba tutegemee mazuriHio meli inaisha lini?
Maana naona wanapanua bandari za bukoba na kemondo huku...
Ukiplus SGR kipande Cha isaka mwanza . trillion 2..tunakuwa tumerudisha trilion 3.2 kwenye GDP yetu ya trillion 12...Umesahau sgr
Misumgwi mjini mpaka usagara kuna lami za kutosha za mitaani na za kuelekea kwenye huduma za kijamii na taasisi mbalimbali, karibu misungwi, karibu copenhagen ya Africa.Mlitoka lini wewe pimbi Kila siku unalia lia humu na kuomba lami? Ziko wapi?
Mngekuwa na lami huko Wilayani tusingekunywa maji.
Niulize hivi pale Misungwi Kuna lami hata ya km 2 mjini maana last time kulikuwa mavumbi tupu.
Endelea kuugulia maumivu π
Copenhagen ya nyoko π€£π€£π€£Misumgwi mjini mpaka usagara kuna lami za kutosha za mitaani na za kuelekea kwenye huduma za kijamii na taasisi mbalimbali, karibu misungwi, karibu copenhagen ya Africa.
Hayo ma reli hayana maana na ni GDP ya mchongoUkiplus SGR kipande Cha isaka mwanza . trillion 2..tunakuwa tumerudisha trilion 3.2 kwenye GDP yetu ya trillion 12...
Wewe Mzee unaonaje?Kaipost mwenyew
Hivi kuna tofauti ya Muleba ( mji mdogo) na sumbawanga? Au mbeya....
Tazama Muleba mkoani kagera....View attachment 2482984
Misungwi ni Kijiji,zaidi ya kauwanja ka gwambina Kuna nini Cha ziada?Last time.umefika Lin misungwi wew ....au unaisikia tu ,,, unadhani hyo ni rungwe ya walima ndizi
Wivu unakusumbua tu, unataka kuifananisha misungwi na sehemu gani za huko machakani.Copenhagen ya nyoko π€£π€£π€£
Sasa mnasubiria nini Kuita Manispaa ya Misungwi au Misungwi TC? Si ni mjini hapo shida nini Sasa? ππππWivu unakusumbua tu, unataka kuifananisha misungwi na sehemu gani za huko machakani.
Utakuwa ulikuwa misungwi ya kyela.Misungwi ni Kijiji,zaidi ya kauwanja ka gwambina Kuna nini Cha ziada?
Misungwi hizo hadhi zote haistahili tunasubiri kuitwa manispaa.Sasa mnasubiria nini Kuita Manispaa ya Misungwi au Misungwi TC? Si ni mjini hapo shida nini Sasa? ππππ
Na huu mkoa unaenda kuongeza idadi ya mikoa ya nyanda za juu kusini na kufanya mkoa wa njombe kuwa centre ya mikoa ya kusiniNjombe inakwenda kufunguka Kwa Lami kutokea Ifakara (Mkoa mpya wa Kilombero)View attachment 2480417View attachment 2480418
Takataka,mtasubiria sana maana hata hata Moshi inasubiria kuitwa JijiMisungwi hizo hadhi zote haistahili tunasubiri kuitwa manispaa.
Usifananishe kyela na Vijiji vya maskiniUtakuwa ulikuwa misungwi ya kyela.