Nani kakudanganya hizo ni render?Hiyo ni miradi inayoendelea kujengwa kwa pesa za ndani za halmashauri.Hizo stand zinajengwa kuna mfumo maalum unaandaliwa wa usafiri wa ndani ya mji ambapo kutatumia magari yakisasa kutoa huduma ndani ya mji.Majengo yakisasa ya machinga unayosema mabanda yamachinga yamejengwa Mnara wa voda,ngokolo mitumban nk.Render zitakazokushangaza zamiradi yakujengwa mwaka huu ndio utatoa povu zaidi,kama vile stand kuu ya mkoa ibadakuli,Parking ya malori buhangija,Shopping mall,EPZ old shy,Soko kubwa la kambarage nk.Hapo bado hatujaweka miradi ya kitaifa kama Stesheni ya Sgr,uwanja wa ndege ibadakuli,barabara mchepuko,viwanda vikubwa vya bidhaa