Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Zoezi la uwekaji taa za tanroads likiendelea ..
Kahama inazidi kuwa on [emoji91][emoji91][emoji91]
PSX_20230113_182358.jpg
PSX_20230113_182456.jpg
PSX_20230113_182208.jpg
IMG_20221124_161154_223.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mnyooshe huyu
Jamaa eti anakaza misuli na visehem vyake ajui mwanza inapokea pesa ndef kweny mirad yake kuzid jumla ya pesa zote zinazopelekwa nyanda za juu kusini

Pesa ilioko pale busis bridge ikipelekwa mbeya wanaweza jenga modern city Yao wanyakyusa wakaacha kukimbilia dar [emoji23]

Eti wanasema parachichi ni dhahabu ya kijani, hiv waijua bei ya dhahabu kweli per kg [emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kahama ni hovyo sana yaani ndio mnaweka taa mwaka huu 2023? Hadi Makambako imewashinda?

Mwisho Taa za barabarani sio z kulingia miaka ya Leo ziko Kila Mji Kwa Sasa.
Aliyekuambia taa ndo zinawekwa Leo nani ...taa zilikuwepo za umeme ambazo operation yake ilikuwa expensive...
By the way hizo taa za makambako zikifika wingi wa km 5 niite fisi ...
Hizo taa ni tanroads na hamna mtu anaringia ila tunakuonyesha tu kuwa kahama sio level Zenu miji uchwara
 
MAkambako hizo taa za tanroad zipo zaidi ya km 5 mzee hapa ni njia panda Barabara zote wamefunga taa mbeya road km 2 ,iringa road km 3 songea road km 3 jumlisha hapo zinakuwa ngapi
FB_IMG_16676312485395943.jpg
 
Aliyekuambia taa ndo zinawekwa Leo nani ...taa zilikuwepo za umeme ambazo operation yake ilikuwa expensive...
By the way hizo taa za makambako zikifika wingi wa km 5 niite fisi ...
Hizo taa ni tanroads na hamna mtu anaringia ila tunakuonyesha tu kuwa kahama sio level Zenu miji uchwara
 
Jamaa eti anakaza misuli na visehem vyake ajui mwanza inapokea pesa ndef kweny mirad yake kuzid jumla ya pesa zote zinazopelekwa nyanda za juu kusini

Pesa ilioko pale busis bridge ikipelekwa mbeya wanaweza jenga modern city Yao wanyakyusa wakaacha kukimbilia dar [emoji23]

Eti wanasema parachichi ni dhahabu ya kijani, hiv waijua bei ya dhahabu kweli per kg [emoji23]
Safi sana kamanda, ulikuwa wapi mkulungwa?😂😂😂😂 endelea kumgongelea misumali huyo zwazwa kutoka njombe.
 
Kahama ni hovyo sana yaani ndio mnaweka taa mwaka huu 2023? Hadi Makambako imewashinda?

Mwisho Taa za barabarani sio z kulingia miaka ya Leo ziko Kila Mji Kwa Sasa.
Makambako baadhi hizo
Aliyekuambia taa ndo zinawekwa Leo nani ...taa zilikuwepo za umeme ambazo operation yake ilikuwa expensive...
By the way hizo taa za makambako zikifika wingi wa km 5 niite fisi ...
Hizo taa ni tanroads na hamna mtu anaringia ila tunakuonyesha tu kuwa kahama sio level Zenu miji uchwara
Makambako saiz ipo full mzee
FB_IMG_16736272425276283~3.jpg
6yn1ebAWh81N9TwZ.jpg
E_P7hQCXIAIclZd.jpg
hqdefault(4).jpg
 
Barabara ni moja lakin picha 6, uthibitisho ni huyo mmama na yule jamaa mweny red t-shirt kuappear kweny kila picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Sunk Cost Fallacy 2 Acha wehu bana View attachment 2479931View attachment 2479932View attachment 2479933View attachment 2479934View attachment 2479935View attachment 2479936
Tuoneshe service road za highway za huko mwaloni zone badala ya kuangua vilio..

Mwisho nimeweka picha za barabarani mbalimbali naona umechagua hii pekee 😁😁
 
Safi sana kamanda, ulikuwa wapi mkulungwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea kumgongelea misumali huyo zwazwa kutoka njombe.
@The Sunk Cost Fallacy 2 ni mwehu ni ana chuki na kanda ya ziwa. Kuna uzi wa Chato kutokua mkoa jamaa anashangilia hoja hana, anatamn kila kitu lake zone kiende ndivyo sivyo.

The Sunk Cost Fallacy 2 sisi wanamwanza hatuna shida na maendeleo yenu ni haki yenu.Ila mkileta wehu wenu wa kushindwa kujua mwanza na lake zone ndo Tanzania hatutosita kuwafunza adabu.[emoji41]
 
Barabara ni moja lakin picha 6, uthibitisho ni huyo mmama na yule jamaa mweny red t-shirt kuappear kweny kila picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

The Sunk Cost Fallacy 2 Acha wehu bana View attachment 2479931View attachment 2479932View attachment 2479933View attachment 2479934View attachment 2479935View attachment 2479936
Hivi hii service road inaweza kupitisha ata IST kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au service road uko kwenu ni special kwa watembea kwa miguu na baiskeli?
JamiiForums-1825990649.jpg
 
Back
Top Bottom