Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Mapato ya migodi ya Wazungu ndio unalingia?

Kama Halmashauri Zina mapato kidogo siwezi kuja huko Ni uswekeni na wanaishi maskini.
Wew utabaki tu hapo chimala ,,maana ndio unapopaweza sehemu classic huziwezi kabisa[emoji116]
Seng , sengerema is waah[emoji91][emoji91]
20230108_105502.jpg
 
Ukinipatia Mahakama kali Kama hii ya Mbeya huko ushagoni mni tag.

Iconic Building of Mbeya High Court [emoji116]View attachment 2473512
[emoji75][emoji75][emoji90]🥸🥸[emoji83][emoji83][emoji880][emoji880][emoji316][emoji316][emoji316][emoji74][emoji79][emoji74][emoji88][emoji88][emoji205][emoji205][emoji205]
Hio ndio iconic building yenu [emoji83][emoji83][emoji83][emoji16][emoji16]
 
The future is exciting...
Uchumi wa mwanza unaenda milestone far ..huku mikoa mingine itabaki ikiburuza mkia [emoji116]

Haters watasema madini yananufaisha wageni .ebu sikiliza hyo clip hapo
 
Usishindane na theluthi ya uchumi wa nchi ...hili eneo limejaa utajiri wa kila aina hivyo tukitaka chochote lazima kije ..tunataka mkoa wa chato na manispaa ya kisesa hamna mwanasiasa atapinga ..ila njombe mlitolewa nje mapema tu [emoji75][emoji28][emoji28]
Bucreef pekee inachangia bilion 2.2 kwenye mapato,bado migodi mingine [emoji116]
Screenshot_20230108-160416.jpg
Screenshot_20230108-160239.jpg
Screenshot_20230108-160437.jpg
 
The future is exciting...
Uchumi wa mwanza unaenda milestone far ..huku mikoa mingine itabaki ikiburuza mkia [emoji116]

Haters watasema madini yananufaisha wageni .ebu sikiliza hyo clip hapo

Hapo Kuna Nini zaidi ya porojo za kuuza matunda na stori za nyanzaga ambazo hazikamilikagi tuu.
 
Back
Top Bottom