The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,965
Mafinga kuko vizuri ila kunazibwa mno na Makambako.Vipi kuhusu Mafinga kati ya hiyo miji miwili, Njombe na Kahama.
Hizo ndio points za maana Chuo Cha Uyole kinafanya Nini pale Mjini? Serikali ikanunue Maeneo Huko Wilayani Tena mbali na Mji ili wajenge Chuo huko,unawekeaje Chuo Cha Utafiti wa Kilimo Ndani ya Jiji?Mbeya swala la ardhi limeshakuwa tatizo hasa ndani ya jiji eneo kubwa ni yamejaa makaz labda wafikilie hata kupunguza mashamba ya uyole
Mkome...pengine wameona maeneo hayo hayana potential..Taasisi za Serikali kuendeleza Migogoro inayokwamisha Maendeleo ya Wananchi Ni upuuzi na zinanikera sana..
Hadi Sasa ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Udsm ndaki ya Afya na Tiba umekwama sababu ya mivutano ya Ardhi.
Ujenzi wa Hospitali ya Tiba umekwama sababu hiyo hiyo na Sasa
Ujenzi wa Hospitali ya Saratani umekwama sababu ya Upuuzi huo huo.
Mbaya zaidi TBC nao wameshindwa kufanya Uendelezaji wa Mitambo sababu ya Migogoro ya kijinga.
Unamlilia nani hapa ,,,,huna namba za waziri wako .we chawa wa SamiaHizo ndio points za maana Chuo Cha Uyole kinafanya Nini pale Mjini? Serikali ikanunue Maeneo Huko Wilayani Tena mbali na Mji ili wajenge Chuo huko,unawekeaje Chuo Cha Utafiti wa Kilimo Ndani ya Jiji?
Vyuo vingine vya Utafiti vya Wizara ya Kilimo vyote viko Vijijini huko.Watu wa Serikali wanakera sana..
Hivi wanashindwa kwenda kwa Rais ili afutilie mbali Hilo eneo hapo na watafute maeneo Wilayani au Mkoa Kama Rukwa,Njombe nk kwa ajili ya Mashamba ya Utafiti?

Wivu 🤣🤣🤣🤣🤣Mkome...pengine wameona maeneo hayo hayana potential..