The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,968
Rukwa👇
Utaelewa tu [emoji116]
Kama raisi kashatia saini...sa hvi initial stage za kuandaa eneo ...
Bas unaona wivu [emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2473679
Migodi inatakiwa kuwa hivi 👇Wazawa wanawekeza kwenye rasilimali za nchi Yao ...nyie endeleeni kulima majaruba hapo kiwira na igulusi [emoji116][emoji12]View attachment 2473641
Eti mkoa wa madini [emoji75][emoji75][emoji83][emoji83][emoji83]Mkoa wa Madini wa Chunya [emoji116]
Hapo pembeni Kuna jengo wameanza ujenzi litakuwa floor 13Ghana .ilemela..mbeya lazima maji ayaite mma ....![]()
Size yenu ni Ile townView attachment 2473522View attachment 2473523![]()
Miji yote ina UKIMWI wa hatari.
Karibu Kanda ya ziwa [emoji116]Mbeya [emoji116]
Shinyanga ina kaupendeleo tu kisa iko barabara kuu, ila kwa speed ya sasa ya Kahama inapitwa mengi.
.
Njombe haipafikii Kahama japo inawekewa kauzibe sana.
🚮🚮Karibu Kanda ya ziwa [emoji116]View attachment 2473859